Naima Mohamed Nyakiniywa aka Mama Leila

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Huyu alleged Drug Kingpin aliposhikwa Dar nilijiluliza maswali mengi!!!
1.Alipataje passport ya Tanzania?
Je hakuna hata afisa uhamiaji aliyewajibika?

2.UWT ,i am sure mnasoma hii blog,mnafanya nini mpaka seikali ya USA iwasaidie hii intelligence?

3.Jeshi la Polisi,naona mko ok kushoot to kill Watanzania wenzenu wakiwa na peaceful demonstration!
Dirty money ndio mzunguko sasa kuanzia za Madawa,uharamia wa Wasomali etc.


I cry to my beloved TANGANYIKA
 
hapo kwenye intelijensia uwt umewaonea. sio kazi yao na nadhani hawana ujuzi huo. tuulize wahusika kwanza
 
Kwa kusema UWT, he refers to Usalama Wa Taifa, so kimsingi wanalo la kujibu.
 
hapo kwenye intelijensia uwt umewaonea. sio kazi yao na nadhani hawana ujuzi huo. tuulize wahusika kwanza

Sasa kama UWT sio wanaopashwa kunusa kilichokuwa kinaendelea nani mwingine tena alipashwa kufanya kazi hiyo? Unless hujui kazi ya UWT!!!!

Tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom