Reggie Bush: Ukimkosa Kim Kardashian, tafuta copy yake.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Reggie Bush: Ukimkosa Kim Kardashian, tafuta copy yake....

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sikonge, Jun 24, 2011.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha ile film ya Wafaransa ya Asterix and Obelix..... Baada ya jamaa kuwa kampenda msichana wa mwenzie, akaona afyatue tu Copy na yeye atese na msichana mzuri.

  Reggie Bush tangu aachane na Kim Kardashian alijaribu kutesa na Amber Rose ila ikala kwake. Kim juzijuzi kaonekana akiwa na mpenzi wake wa zamani aliyempandisha chart yaani Ray J (kaka yake Mwimbaji maarufu Brandy).

  Bush na Kim enzi zao.....

  [​IMG]

  Mellisa Molinaro anavyoonekana (Kushoto) na Kim kulia..............

  [​IMG][​IMG]
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ila tofauti yao kubwa ni moja:

  Wakigeuka nyuma, Melissa kapitwa sana na Kim na kwa Mipingo, hilo ni kosa kubwa.

  Ajitahidi aweke Silicon haraka na market yake itakuja juu vibaya sana. Hebu kione na ulinganishe na Kim:

  Kipengule cha Melissa : Kushoto na kitu cha Kim kulia kilivyosimama........ Yo-Yo upo hapo Shemeji? Wanyamwezi na vitu vyeupe .... hihiii :)

  [​IMG][​IMG]
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  shema cha kabisa totozi nyeupe gonjwa yangu aisee.......dadako nae kitu nyeupeeee napenda sinable gals aiseee......na awe na kitu kimetuna kwa nyuma kwa chat.....kudadadadeki......

  lakini KK aisee arifu nae kiboko......afu siku hizi sasa napenda kuangalia ile show yao Keeping Up with the Kardashians napenda tu kuangalia lile wezere lake....
  [​IMG]
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu Kim kwa umbo ni hatari.... Ila kama mke, Kim na Kloe wakorofi sana sana na nisingelitaka kuishi nao ndani ya dari moja.

  Kuna siku Kloe alichachamaaa na akataka kuwatembezea kibano dada zake wote na ikabidi wanywee tu.

  Kourtney akasema kwa taratiibu kama kawaida yake kuwa "huyu Kloe, akija kupata mume na akamkorofisha, kidume kitafungwa kitandani na kuchukua kichapo cha nguvu....." Ila sema bahati nzuri kwa mwanaume dhaifu, akaja mjamaa amechumpa na msuli wa nguvu kutoka NBA. Kloe hawezi hata kuota kumchapa kibao maana mtoto wa NY Uswahilini, akichachamaa, moto utawaka.

  Nakipenda sana hiki ki-Kourtney na utaratibu wange ingawa kipengule kimejinyima kidogo (naona kwa kukonda) maana ukiangalia Hips, kamejaza sana ila chini kana MIWA.

  [​IMG][​IMG] Kourtney kushoto na Kim kulia.
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  SHEM weye ni mkaree.....ubarikiwe

  Namuangaliaga Lamar namuona kama goi goi f'lani hivi hata game yake LAL naona ataendelea kuwa sixth man all time.....hako ka kloe ni kana mdomo sana kama wanawake wa kichaga.....kanajifanya kanajua kichizi.....afu sio kakali kivileeeee.....
  .....Kourtney mkali ila naona ana mironjo kama ya mwafrika wa kike.....
   
 6. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye bold inaelekea mademu wa kichaga wanakuumiza kichwa kweli....!!!!!
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwa Kim siku zote R egie ndo mwanaume anayempenda,msikilize anavyomuongelea kana kwamba wako pamoja...ila hawa wengine ni wanaume anaojaribu kuwa nao kwa malengo yake ya kuolewa maana nae anapenda kuolewa huyo kama mwanamke wa mwananyamala
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kiukweli Lamar kama ana mtindio wa akili...sijui ni ule urefu,na mke mwenyewe alivyo mkorofi japo kwa mumewe namuona tofauti hahahahaah
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Shosti,

  Mie nilikuwa naamini hivyo ila baada ya kuona wako na RayJ tena, nikajua kuwa kijana alikakoleza si kawaida. Ila sema yeye alikapata wakati bado katoto na hakajapata umbo la Mwanamke..........

  Hawa wengine sijui ila Ray naona lilikuwa penzi kwelikweli.

  Kim hawezi kuolewa maana yeye anaishi kwa Skendo. Akiwa mke wa mtu, atajifunga sanasana.
  [​IMG]

   
 10. X

  Xoxo gg New Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yan khoe amezidi hata mwanamke wa Kiswahili Ana afadhali...anapenda endesha wenzake n hapendi ukweli...khoe ma thumb finger z down for u...Kim change ur habit,u r beautiful bt u don stay wit ur guys,break up n make up all the time,maybe u don know what kind of a man u really want,Huyu wa sasa tayari scandals harusi itafungwa kweli????!!!...kourtney,so much luv for u bt check out wit ur baby daddy,scout....Robert watsup wit ur life do smthng plzzzzz....Kris,great mum remember always family kwanza,spend mo time wit ur hubby,punguza apointments...
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hii familia mhh...
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahha hii familia ipo artificial sana ila nampenda Khoe pamoja na ukorofi wake kwa Lamar ni mpoleee
   
 13. s

  shosti JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mr usinambiue kwa nini hujui anakuwa mpole jamani...unaona mpaka sauti anabadilisha kweli Lamar kiboko eneo hilo
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahah kaka zetu nawaaminia ndo maana Kim bado anamuwaza Reggie hahha
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahaah we unamuonaje Regie,kuna mahali nilimbamba nikasisimkwa mwili mzima....ila asiwe kama huyo RayJ
   
 16. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jaman nampenda sana khole tangiapo n mkal,but she is very lovely ad sweet,kwel lamar amepata,others are fake.
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kim Kardashian Proved Her Assets Are Real With Butt X-Ray June 24 | Posted by Popular Critic
  [​IMG]Did Kim Kardashian really need to get a butt x-ray to prove her assets were real? We’ll answer that with a resounding, NO! But for the many people, fictional and non fictional, who Kim believed cared to know if her voluptuous assets were real, there’s now an x-ray to prove it.
  Kim Kardashian tells her doctor: “My sisters have dared me to get a butt X-ray. I really just want to get [it] so I can show the whole world.”
  Kim posted the x-ray picture on Twitter where sister Khloe Kardashian wrote: “She’s all natural baby! Kim got a butt X-Ray… See, it’s real! Lol… Nothing like a good old Armenian a** to get your day going!”
  [​IMG]
  “Haha!” Kim, responded. “The things my sisters have me do! Proof baby!”

  Usher recently stated that he wants Pippa Middleton for his underwear line because people were moving away from the Jennifer Lopez/Kim Kardashian assets to Pippa Middleton.
  Maybe there’s room for both assets to mutually exist. Why either of them are this popular is unknown. Check out the scene of Keeping Up With The Kardashian
   
 18. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kim ni Mkali sana aiseh.
   
 19. s

  shosti JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wa kawaida tu...kuna mademu wakali kuliko yeye
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  yah maaaang mosty from sukuma land
   
Loading...