Unamfahamu miss tz huyu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unamfahamu miss tz huyu?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by rose d, Jun 25, 2011.

 1. r

  rose d Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HII NIMEIKUTA KWENYE www.jeedygirl.blogspot.com  [h=2]Wednesday, October 20, 2010[/h] [h=3]FULL SCANDEL YA MISS TANZANIA[/h]
  Leo nataka nikujulishe kitu ambacho hukifahamu kuhusu Miss Tanzania wa mwaka ...... kuponi.
  ni miss maharufu kabisa na anajulikana kabisaaaa. ni miss ambaye hajaandikwa kwenye magazeti ya udaku kwakweli na msifu mno kwa hilo. mambo yake anayafanya kichinichini namsifu kwa kujieshimu mno.
  lakini ni miss mwenye majivuno na kuringa mno na watu wengi wamekuwa wakimzungumzia kwa hilo.
  sasa nataka ufahamu sababu ya tabia yake ya majivuno ya kupitiliza na zarau yakupita kiasi.
  Miss Tanzania wetu huyu amezaliwa nchi ya nje. siri ambayo majaji pia hawaifahamu nazani maana bila ya hivyo angeweza kutolewa kwenye kinyan'ganyilo cha ulimbwende au kumpelekea asichukue taji hilo.
  baada ya miaka mitano ya baadae yeye na familia yake akiwemo baba yake mama yake na mdogo wake walipatwa na misukosuko (kuponi) yakupelekea kusambaratisha familia hiyo nakumwacha mama yake na mdogo wake wakiwa wakiwa nchi ya mbali hili hali yeye na baba yake kukimbilia nyumbani Tanzania.
  Miss huyu alikuwa akiishi maisha ya kutanga tanga kwakuwa baba yake hakuwa na makazi maalumu.
  ndipo akaonwa na mtoto wa tajiri mkubwa maarufu katika jiji la zanzibar anaishi eneo kubwa kabisa MAISARA.
  binti yule alimpenda sana kwani miss wetu huyu ni mzuri mwenye mvuto mkubwa sana. akamuomba baba wa miss amchukue japo washinde naye mpaka jioni na amrudishe kwani jua ni kali na mtoto mzuri kama huyo asinge vumilia kumuona anateseka na njaa na jua hili hali kwao nikaribu na angemrudisha muda atakao muhitaji.
  baba wa miss akampatia binti wa tajiri mtoto kwa makubaliano ya kumrudisha na hiyo ikawa ni kawaida ya binti tajiri kwa kipindi kirefu
  mara binti wa tajiri akaomba ombi lingine lakumchukua mtoo miss tanzania nakuishi naye kwa ahadi ya kumsomesha na kumtunza mpaka hapo baba mtoto atakapo pata makazi na uwezo wa kumchukua na kumtunza.
  hapo ndipo miss wetu elimu yake ilipoanzia kwa msaada wa binti wa tajiri maarufu wa zanzibar.
  ilipita miaka kazaa namaisha matamu na mazuri ya miss wetu yakaendelea mpaka siku baba yake alipo jitokeza na kudai mtoto wake.
  kwakuwa binti wa tajiri na wazazi wake walikubaliana juu ya hili. basi hawakuwa na budi kumwachia mtoto wa watu.
  miss wetu aliondoka na baba yake na kuja dar es salaam na kuanza maisha mapya. huku dar alikuta baba yake ameoa mama wa kambo. na wana mtoto mmoja tayari yaani mdogo mwingine wa miss.
  miss hakufahamu kusu mama halisi na mtoto halisi walio achwa nchi ya nje mpaka siku alipopewa kipigo cha nguvu na mama wa kambo hili hali baba mzazi akishuhudia. Ndipo alipo mtaka baba yake amueleze ukweli mama yake yuko wapi maana amechoka kufungwa minyoror na kamba za katani na kupewa kipigo cha nguvu haitoshi hiyo kunyimwa chakula alichopika mwenyewe na kuwashuhudia watoto wa mama wa kambo na baba yako mzazi wamekaa mezani na mama wakambo wakishambulia mapaja ya kuku kisawasawa. too painful.
  ilifika siku baba wa miss wetu uzalendo ukamshinda na kumpa mkanda mzima wa mambo halisi yaliyotokea na kumfanya hadi wawe hapo. alimpatia miss wetu picha ya mama yake mzazi na yamdogo wake wa damu. wakiwa katika mzungumzo hayo. mama wakambo akatokea na kunyang'anya kumbukumbu muhimu ya picha na kuzichana na kuchoma moto.
  ilikuwa siku ya maumivu makubwa baina ya baba na mtoto. hawakuwa na namna maana mama wa kambo alikuwa amekamata mpini ipaswavyo baba hapinduki kwa mamsup huyo.
  maisha ya tabu nyingi na manyanyaso ya kupindukia yaliendelea na miss wetu alizidi kukua na kuwa mrembo zaidi na mkong'oto uliendelea mara dufu kwa wivu wa mama wa kambo.
  malezi mabaya aliyo pata mtoto miss tanzania ndiyo yalimjengea chuki kwa kila binadamu na hakupata wa kumwamini kwa lolote.
  miss huyu hakuwa na rafiki wala boyfriend kwa kipindi chake chote cha masomo ya secondary ikampelekea kufanya vizuri masomo yake na kumwingiza chuo kikuu.
  akiwa anasubiria matokea. mwanafunzi mwenzake ambaye aliguswa mno na historia mbaya ya maisha ya miss wetu akamtorosha kwao.

  MWANAFUNZI HUYO MWEMA NI NANI? ALIMTOROSHEA WAPI? ILIKUWAJE BAADA YA HAPO? ILIKUWAJE AKAWA MISS?
  NA ALIFANIKIWA KUWAPATA NDUGU ZAKE? MISS TANZANIA HUYU WA MWAKA GANI? ANAITWA NANI? NA MASWALI MENGINE MENGI YOTE HAYA UTAFAHAMU WEEK IJAYO UNACHOTAKIWA KUFANYA NIKUTEMBELEA TOVUTI HII MARA KWAMARA KWA KUPATA YANAYOENDELEA AMBAYO HUYAFAHAMU. LIFE GOES ON.
  ASANTE NA KARIBU SANA.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mbona kama imekaa kishigongo shigongo vile. Anyway yaweza kuwa Riwaya nzuri.
   
 3. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Haya ndio mambo nisiyoyataka ya kupeana story nusu nusu,au ni kupigia promo blog, sawa tumeiona tutafuatilia
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Uhuni huu, sisi hatuko interested kusoma ili tupate jibu wenyewe. Mimi na ma miss wapi? Lete jina na picha yake tuone hapa tukuulize maswali. Shigongo type hiyo!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huu ukuda!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wabongo bwana......
   
 7. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii blog nimeishtukia, sizani kama imeenda shule kisawasawa, ndio maana imekaa kidaku daku, hebu oneni hapo chini lugha zinazotumika huko, vilaza  i was at work that day and i got a call from one of maid informed that my son got burned him self. i didn't want to believe this i was like in middle of dreams. i asked one of worker mate to take me there co'z time was almost done and meanwhile i was called all my family informed about this plus my husband of course. on the way my husband called me informed that he already at home and picked our son to the hospital so no needed of me running there instead lets meet at hospital (Aghakhan Hospital) i wanted to know what exactly happen and he told me no time for that i should pray for our son by that time instead of asking questions and crying. he told me its true he real burned so badly lets hope to the God. he didn't finish i was fallen down loose memory till my mate asked me to drop and find means to back town where the hospital located. i felt to died that day. i dropped out his car and don't know way to take take out the shoes felt the heavy.....u cant imagine how i was felt that day. real a day to remember.


  FIND OUT WHAT WAS HAPPENED THE TIME I REACH AT THE HOSPITAL?????????
  mind this the picture i have post its taken a month later a day we came out to the hospital

   
 8. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  atakua Angela Damas huyo..
   
 9. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, lugha za watu ngumu!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kama huna cha kuchangia nyamaza Huna interest na Miss unachangia nini sasa?! Silence means...,
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh nimehuzunika na kucheka...binaadam tuna mambo
   
 12. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  blah blah blah blah!
   
 13. l

  lily JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yaani wewe uliotoa hii mada ovyoooooo rudi shule kwanza
   
 14. aye

  aye JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  sasa ndo nini iyo kama riwaya za shigongo
   
 15. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tehetehe!!:caked:
   
 16. s

  sharobaby Member

  #16
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Anjela Damas tu hyo nakipindi anasoma makongo alikuwa mlokole acha
   
 17. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Angela Damas Mtalima.jpg
  mkuu kwahiyo unamaanisha ni huyu sio! naona itakuwa bora ili jamaa asimalizie story yake...............
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jul 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa nini ni Angela Damas!
   
 19. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Sylivia Bahame
   
Loading...