Radio Free Africa mnatulaza macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Free Africa mnatulaza macho

Discussion in 'Celebrities Forum' started by rosemarie, Jun 23, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kitendo cha nyie kuwa na ratiba ya vipindi muhimu usiku mnatulaza macho!!!!
  jumapili mtangazaji alisema mnapitia mawazo ya wana jf,
  naomba msome mawazo yangu hapa,

  jumanne kipindi cha uliza ujibiwe
  jumatano dk wa mapenzi
  alihamis za kale ni dhahabu.

  naomba mpange vipindi vyenu mapema kidogo,mnatulaza macho!!!!!!!!!
  lakini hongereni sana!!!!!!!
   
 2. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa vema kama ungewatumia mail juu ya hili! Hata hivyo the issue is too personal.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,126
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  nimepita hapa
   
 4. senator

  senator JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hapo sina ujanja mie nikipata porojo za Somboko na wadau wengine nalala murua kabisa!!
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kipindi cha Alhamis kumbe tuko wengi.
   
 6. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha kipindi cha Salamu za Milenia cha Wambura Mtani?
   
 7. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  kipindi kisichonichosha....
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ila hawa jamaa ni kiboko, unaweza kushtuka usiku na wasikilizaji wanapiga simu za salamu saa tisa usiku!
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu nina wasiwasi watakuwa ni hawa watu wa ungo. lol

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Walah jamaa huwa wako busy ni balaa
   
 11. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yupo wapi Jacob Usungu, Wambura anapaka tope kipindi...Usungu alikuwa mashine nyingine kabisa
   
Loading...