Huku nyumbani serikali yake ikiwa imewatelekeza wafanyakazi wa Jumuiya.....
Zaidi ya winter shopping kingine ni hiki hapa. This is where our Humble President feel more at home. Tazama...
Ni mmoja ya watangazaji wachche nilokua nawakubali ile mbaya nilikua sikosi kipindi chake cha uswazi na super mix pale ea radio,sasa hiv sina mudi na hivo vipindi tangu alipoondoka huyo mshkaji...
na Eugenia Kimolo
KESI ya madai inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, Hashim Lundenga, inatarajiwa kuanza kusikilizwa rasmi leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
JENNIFER LOPEZ AKA J-LO (ARTIST/ACTRESS)
Jennifer Lopez aka J-Lo ambaye ametemana na baby baba wake,Mark Anthony imefunguliwa kuwa 'anatoka' na Actor Bradley Cooper
BRADLEY...
Actor Andy Whitfield, the former star of TV show "Spartacus: Blood and Sand,". Whitfield died on September 11, 2011 of lymphoma in Sydney, Australia, at age 39, his representatives said...
Naomba tutoe ushauri kwa kamati ya MISS TANZANIA kuhusu kipengele muhimu cha ufahamu kwa jinsi ya kujibu maswali kuliko aibu tuliyoipata Jmosi usiku.
Fikiria mrembo anaulizwa utatumiaje Taji lako...
Selena Gomez.
Tatoo ya yenye jina la "Justin" ikionekana katika mkono wa kulia wa Selena Gomez.
Chanzo:Selena ajichora tatoo ya jina la Justin Bieber Mkononi. -
Leila Lopez akivalishwa taji la Miss Universe.
Shindano la 60th la Miss Universe 2011 liliofanyika katika jiji la Sao Paulo Nchini Brazil lilihititishwa kwa Mrembo wa Angola Leila Lopes kuibuka...
Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa...
Hii zawadi baadae itageuka mzigo manake repairing and maintaining Jeep Patroit sio kazi ndogo. Acha mbali gharama ya mafuta kwa mwanafunzi wa chuo as most of these young ladies ni wanachuo.
Bora...
TUPAC AMARU SHAKUR (JUNE 16,1971 - SEPT 7,1996)
Leo imetimia miaka 15 ya kifo cha Rapper,Tupac Amaru Shakur aka 2 Pac au Makaveli aliyezaliwa June 16,1971 na kupigwa risasi September 7,1996...
Nimefurahishwa na maneno ya huyu binti.
"Asked about racism in light of the fact that she's one of the few blacks ever crowned Miss Universe, Lopes said that "any racist needs to seek help...
Hivi apart from Runway kuna sehem nyingine ambayo mtu unaweza kujimwaga bila kukutana na wauza sumu?
Bills imekuwa kama DDC kariakoo
Kempisky ile ya once a month is ok lakini nako inaonekana...
Movie star Andy whitfield(spartacus) died today after his long time struggle with disease called Non-Hodgkins Lyphoma,He was 39 years old,Andy was known as a main cast on a femous television...
Jamani nlikua naomba kujuzwa na wadau wa muzik hum ndan...Crazy GK yuko wapi sku hiz!
Huyu jamaa bado yupo hum bongo au kashatimkia zake mbele,ka yupo anafanya kaz gani,yuko kwenye hali ipi
plz...