Mwamvita Makamba apandishwa cheo

Status
Not open for further replies.

Tupa Kule13

New Member
Jun 9, 2011
4
0
Eti Huyu mdada msupa Mwamvita Mwamkamba kapewa u bosi at Vodacom Tanzania? nimeskia hizi tetesi juzi kati...nani anazo detials za uhakika?????
 
Kwani yeye alikuwa anafanya VodaCom? Kuhusu tetesi hizo ndiyo kwanza umenipa asignment ya kufuatilia kupitia vyanzo vyangu. Nitarudi baadae baada ya kupata uhakika.
 
huyu mwamvita ndiye amesababisha mafuru kuacha kazi vodacom kutokana na yeye kupewa upendeleo maalum kwa vile ni mtoto wa yule mzee makamba na uswahiba wake na mmoja wa mapacha 3 yaani rostam...

kazi yenyewe hajasomea hakuna anachofanya, kikubwa ni kuuza sura ambayo kiukweli hana sura nzuri....

pole sana mafuru ila na wewe ulipokuwa vodacom ulijisahau bwana...mkiwa kwenye nafasi hizi msijisahau sana manake mkitimuliwa mnakuja umbuka sana...ona chacha wapi mafuru??
 
huyu mwamvita ndiye amesababisha mafuru kuacha kazi vodacom kutokana na yeye kupewa upendeleo maalum kwa vile ni mtoto wa yule mzee makamba na uswahiba wake na mmoja wa mapacha 3 yaani rostam...kazi yenyewe hajasomea hakuna anachofanya, kikubwa ni kuuza sura ambayo kiukweli hana sura nzuri....pole sana mafuru ila na wewe ulipokuwa vodacom ulijisahau bwana...mkiwa kwenye nafasi hizi msijisahau sana manake mkitimuliwa mnakuja umbuka sana...ona chacha wapi mafuru??
Tuweke wazi mkuu inamaana cheo cha mafuru kimeenda msambaa? Na mafuru sasa hivi hupo wapi? Cv ya huyu dada ipoje?Kumbukeni vodacom ni kampuni kubwa hivyo kimanti yatupasa kujua baadhi ya mambo tukiwa kama wateja wake na wadau muhimu!!
 
Huyu dada ameolewa?

Kama ameolewa,anafurahia ndoa yake kweli?

Mbona kila siku yuko viwanja alone?
 
Acheni kuonglea watu jamvini. Tabia mbaya hii. Pelekeni ujinga huu kwenye globs. Angekuwa kwenye politics may be ingekuwa valid kumwongelea lakini personal stuff, Naaaah..Stop discussing gossips! Remember JF is the home of great thinkers, unless JF has become the home of great yappers!
 
Aha..kumbe mafuru yamemkuta ook mungu husikia dua za watu ALIYE JUU....
 
Acheni kuonglea watu jamvini. Tabia mbaya hii. Pelekeni ujinga huu kwenye globs. Angekuwa kwenye politics may be ingekuwa valid kumwongelea lakini personal stuff, Naaaah..Stop discussing gossips! Remember JF is the home of great thinkers, unless JF has become the home of great yappers!

mkuu Mwamvita ni celebrity kibongo bongo. anaonekana kwenye TV, kuna baadhi wanamkubali. kwa kiasi kikubwa anajulikana. Hivyo watu kum-discuss ni sehemu ya gharama yake ya ucelebrity wake.. Wako wengi wanatamani kusikia ametokea wapi, alianza vipi na yukoje kimaisha..kwa hiyo hili jukwaa ni sahihi kabisa watu kuuliza habari zake..

au hujui nini maana ya celebrity?

Mimi Kaka Mpendwa, hakuna anayenijua, kwa hiyo hakuna atakayependa kufuatilia mambo yako..sina mvuto kwenye jamii...
Nilikuwa tu nakupa upande wa pili ndugu Great Thinker
Hii sio sehemu ya wanasiasa tu
 
Polekeni hii hoja Michuzi, Michemsho au Mirojoro blog
 
kaachia na yule mzungu baada ya kufumaniwa akuwa ana uhusian na boss wake haafu ni small house ya rostama aziz,si unaona nowdays ni tanzanites kwa kwenda mbele nakwambia umjini utawaachisha wengi kwenye ndoa zao.
Huyu dada ameolewa?

Kama ameolewa,anafurahia ndoa yake kweli?

Mbona kila siku yuko viwanja alone?
 
acha kuoropoka wewe yule mzung wa sgs kamuacha lakini thats KRAMA si unajua na yeye alimtoa yule mnigeria kwenye ndoa ya huyo mzungu?yule mama wa kinigeria akaonekana kama kichaa vile akachoma vitu vya yule mzungu na kutia chumvi kwenye engine ya range rover na gari ingine na kumbwagia mwamvita na mzungu mtoto airport ikaandikwa magazetini ya udaku lakini hawakutaja jina na mwamvita alikua hajulikani wakati ule alikua anafanya kazi tu ya customer care DHL na alikua anaramba tu vumbi ana kusaga lami kama demu wengine but good thing ni kwamba kasoma. hata kama anapendelewa because bosses ni watu wake wa karibu but elimu pia imemsaididia
kaolewa , mume wake mzungu kibabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom