Sugu Vs. Tuzo za Heshima-Fiesta!!Kulikoni?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu Vs. Tuzo za Heshima-Fiesta!!Kulikoni??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sizinga, Jul 31, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Je huu ndio muendelezo wa bifu zao ama(Sugu na Ruge-Clouds Media group)??Utatoaje tuzo za heshima kwa waasisi au waimbaji wa mwanzo Bongoflava ukamwacha Sugu aka Mr 2?? Hiki ni kichekesho kwa Waandaaji wa Fiesta CloudsFm(Media).
  Baadhi waliopata ni hawa:
  Juma Nature
  Fid Q
  Bushoke
  Prof Jay
  Jay Dii
  Unique Sisters
  Mr Nice
  Mabaga Fresh
  Mandojo na Domokaya....n.k Sugu hayupo kundini. Hii imekaaje?? Wako seriaz kweli hawa??
   
 2. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  hiyo tuzo ni kwa mujibu na mtazamo wa cloudz,lakini watz tunajua ma-legendary wetu wa ukweli
   
 3. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wangempa sugu angekub al kuipokea? Nawe jiulize.
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwanin J MO wanamsahau! Kat ya conscious mc's bongo yule among them.
   
 5. P

  Pepo Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naona eshacky umekosa cha kuandika bora uende jukwaa la mapenzi kw watoto wenzio
  shortly,habari za Ruge tumezichoka,leta hoja ya msingi juu ya maendelea ya nchi yetu na sio thread ya Ruge na Sugu.
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Clouds wanajitia aibu
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Labda tungejaribu kufahamu vigezo walivyotumia kabla hatujawalaumu... Ni sawa na kusema Marekani ikitoa tuzo za uaminifu kwa watu wote waliowahi kuitumikia, basi wampe Osama pia!
   
 8. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Clauds wameshakunywa maji ya bendera ya CCM hivyo hawana jipya zaidi ya fiesta kupromote umalaya na unzinzi hata hizo tuzo wanazotoa hazibadilishi maisha ya msanii bali kwa vile wasanii wetu misifa wanaona wako juu sana.
   
 9. jasirimali

  jasirimali Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe Pepo, mawazo yako yanafanana na jina lako!! Kama huna heshima kwa Jmo ktk mzk huu wa Tz basi huna tofauti na Rais wako asiyemjua mmiliki wa Dowans.
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nilisikia kuwa ni Tuzo za wasanii waliotoa mchango mkubwa ktk matamasha ya Fiesta. Mi naona kwa vigezo walivyovifuata ni sawa maana hao wasanii waliotwaa tuzo wameshiriki katika matamasha mengi tangu tamasha hilo likiwa na jina la summer jam. Mr2 na Jay Mo sidhani kama waliwahi kushiriki matamasha mengi kama wengine waliopata tuzo. Tuangalie vigezo kuliko kulaumu kila wakati maana ni kweli kabisa Mr2, Jay mo, GWM, KU, Soggy Dogy, nawengineo wengi walikua waasisi je wametoa mchango gani ktk tamasha ndicho kigezo.
   
 11. P

  Pepo Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  jay mo cjakataa kuwa ni mmoja wa asisi ila,hbr za Ruge hapa Jf na Sugu too much..
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hili li Profesa njaa limekuja kuwa lijinga.
   
 13. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  We ndo unakosea, hapa ni jukwaa la celebraties, burudana na kadhalika. Unataka maendeleo hama jukwaa nenda jukwa la siasa, sheria, elimu na mengineyo. SIO LAZIMA UJIBU KILA THREAD, YAPASA PIA KUSONA NA KUIPOTEZEA KAMA UNAONA HAIKUFAI! Unataka tujadili maendeleo, maendeleo, maendeleo tu, mbona hayo maendeleo hatujayafikia for 50 years NOW?
   
 14. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Nimekupata mkuu tuzo za sifa za kijinga ni sawa na mtu kupewa sahani isiyo na chakula,kwanza sishangai kwana clouds ilianza mwaka gani?wapeleke huko vituzo uchwara vyao.
   
 15. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nauliza hivyo kwa sababu kwenye tamasha lao la fiesta hapa Dar walitoa tuzo kwa wasanii kumi waliotoa mchango mkubwa kwenye muziki wa Bongo flavour kwa miaka kumi iliyopita (2001-2011), kwa sababu ambazo nadhani ni za kisiasa (kwani hawa jamaa ni vibaraka wa ccm) na kwa kweli Sugu akiwa kama waziri kivuli wa habari, michezo na utamaduni amekemea sana swala la clouds kuitumia nyumba ambayo serikali iliitoa kwa ajili ya kujengwa studio ya kisasa wao wameigeuza kuwa nyumba ya sanaa nakuwanufaishia wao na pia tabia ya Sugu kuwaelimisha wasanii dhidi ya unevu wa malipo unaofanywa kwenye fiesta, na pia kwa namna Sugu alivyowakomalia waliposhirikiana na Januari Makamba kuiba aidia yake ya malaria haikubariki.

  Pia kwa namna anavyowachana kwenye ant-virus.Kwa makusudi kabisa kwenye hiyo orodha Sugu eti hayupo!. Hivi hawajui bila Sugu kukomaa na huu muziki wasingekuwa wanaandaa hata hayo matamasha? Kwa kufanya hvyo wanapoteza historia ya Bongo flavour kwani watoto hawata mjua mwaasisi wa huo mziki na udhalilisha kwa heshima aliyonayo sugu kwenye huu Muziki..

  Pia wasanii wakongwe wote ambao wapo karibu na sugu hawapo kwenye top ten( mfano Afande Sele na Wagosi wa kaya).

  MY TAKE. MWAKA 2015 wote wenye mapenzi mema tuhakikishe CHADEMA inachukua nchi ili Sugu aichukue rasmi wizara ya michezo na awafungie maramoja hawa wapuuzi kwani hata redio yao inaponda sana Chadema na haifanywi kitu kisa wanaandaga birthday za Kikwete na Kibonde anasimamiaga kama MC sherehe na mikutano ya CCM.
   
 16. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama vipi ebu weka wazi hao waliopewa hizo Tuzo!
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa sera za namna hii utakuwa unaiandalia CDM mazingira magumu na sidhani kama haya ni malengo ya chama na kama sera ni hiyo huwezi kutegemea kura yoyote ya mtu anayefikiri sawa sawa!
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kwani sugu ndo mwanzilishi wa harakati za muziki huo,au naye anajitafutia umarufu mbuzi!!!
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Habari za saahizi Shosti
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  unapobisha kitu ni vizuri ukasema jina la unaemuona wewe ndio muasisi wa Bongo fleva, kuliko kuleta haya maongezi ya jikoni au salon!!! otherwise wewe ndio K- mbuzi.
   
Loading...