Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,424
- 1,029
Leo imetimia miaka 15 ya kifo cha Rapper,Tupac Amaru Shakur aka 2 Pac au Makaveli aliyezaliwa June 16,1971 na kupigwa risasi September 7,1996 na kufariki dunia September 13,1996 2 Pac amepewa heshima kama the father's of West Coast hip-hop,na kumfanya awe the most successful deceased rapper in the game.
Source: chini ya carpet blog
Source: chini ya carpet blog