Ni mmoja ya watangazaji wachche nilokua nawakubali ile mbaya nilikua sikosi kipindi chake cha uswazi na super mix pale ea radio,sasa hiv sina mudi na hivo vipindi tangu alipoondoka huyo mshkaji! mwana jf anaefaham anifaamishe.