Miss TZ 2011 kuondoka na Jeep lenye gharama ya Tsh.72 millions

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Points
0

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 0
Hii zawadi baadae itageuka mzigo manake repairing and maintaining Jeep Patroit sio kazi ndogo. Acha mbali gharama ya mafuta kwa mwanafunzi wa chuo as most of these young ladies ni wanachuo.


Bora wampe hiyo cash, itamsaida kwenye elimu na maisha ya baadae, sasa li-jeep sijui unalifanyia nini.

Lundenga na kamati yako, ifikie mahali zawadi kwa mamiss ziwe zina tathminiwa na ziendane na mabinti wadogo.


All in all, i wish all the young ladies all the best.

 

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,837
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,837 0
Anayepaswa kumchagulia zawadi mtu ni mtoaji mwenyewe, sasa ndugu yangu wewe ni nani hasa kutoa ushauri kama huu usio na kichwa wala miguu.
 

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Points
0

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 0
Anayepaswa kumchagulia zawadi mtu ni mtoaji mwenyewe, sasa ndugu yangu wewe ni nani hasa kutoa ushauri kama huu usio na kichwa wala miguu.
Nyie ndio walewale mnaopeleka zawadi ya TV kijijini wakati hakuna umeme wala network yoyote, sijapinga hii zawadi, ila zawadi iendane na mlengwa sio unakurupuka tu.
 

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,481
Points
2,000

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,481 2,000
Sponsors and Home watangaza kuwa gari ni jipyaaa.

Point yangu ni kwa nini wasitoe hiyo cash kama zawadi kuliko kumbebesha mtu mzigo wa kutunza jigari kama hili? Kumbuka mlengwa wa hii zawadi ni below 25 yrs.
Wanasema the car is worth 72m/- and is courtesy of joint efforts between the event sponsors Vodacom Tanzania and CFAO Motors Tanzania. Do you really think the car is worth that? Kuamua kutomlipa cash ni njia nyingine ya kuepuka kulipa kodi tuu. What does Vodacom get in kwa kumpa mtu a car worth 72m?
 

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,741
Points
1,225

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,741 1,225
Sponsors and Home watangaza kuwa gari ni jipyaaa.Point yangu ni kwa nini wasitoe hiyo cash kama zawadi kuliko kumbebesha mtu mzigo wa kutunza jigari kama hili? Kumbuka mlengwa wa hii zawadi ni below 25 yrs.
Leornado ndugu yangu kumbe hujajuwa janja ya hawa organisers/sponsors mpaka sasa ? idea nzima ya kumpa gari mtu ambaye labda hata hela ya petroli au matengenezo hana ni kumjengea utegemezi ili baadae waweze kumpata/kumtumia kirahisi.Wengi wa hawa mabinti wamemaliza form 4/6 na wachache wako chuo na majority wanatoka kwenye familia duni sasa hapo malizia mwenyewe utajua maana ya kupewa gari.Kama ningekuwa na uwezo haya mashindano ya miss Lundenga na yule mbabaishaji chips na miss utalii yake ningeyafutilia mbali,afadhali kidogo yule mama sarungi na miss universe yake.
 

oldonyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
553
Points
195

oldonyo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
553 195
Lengo la miss tz ni kutengeneza machangu watakaokuwa wanajiuza kwa mapede wa mjini.jaribu kuangalia gari la thamani kama hilo ni kuzidisha skendo tu kwa hao mabinti kwaiyo tusijaribu kuwaraumu lundenga na wadhamini wake ndo tatizo.
 

Forum statistics

Threads 1,390,885
Members 528,284
Posts 34,065,221
Top