Kilichompeleka JK USA hiki hapa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Huku nyumbani serikali yake ikiwa imewatelekeza wafanyakazi wa Jumuiya.....

march7-2.jpg
Zaidi ya winter shopping kingine ni hiki hapa. This is where our Humble President feel more at home. Tazama tabasamu lake hilo utafikiri yeye ndiye meneja wa hao BOYZ II MEN

Boys_ii_Men_with_Kikwete1.jpg
 
Lakini Wabongo jamani nyie kiboko!
Yaani kila mtu anaponda JK kupiga picha na Boyz to men kisha hao hao Wabongo wajuzi wa kusaga na meno tunawaona wao wakipigana vikumbo kupata picha wakiwa na JK, mijino yote njeee hali ndio wa kwanza kusema JK hafai.
 
Lakini kwani hao Boyz II Men hawakutamani kupiga picha na president wa Tz? Ingeleta maana gani kama hao wanamuziki wangemwomba JK apige nao picha, halafu ati yeye akatae! Yani angetoa maelezo gani ya kuwakatalia kupiga nao picha? Hivi tunataka rais ambaye yuko anti-social, anayeogopa hata kupiga picha na watu kwa ajili ya kumbukumbu zao? Yapo ya kushutumu kuhusu JK lakini hili la picha naona halina msingi wowote!
 
Tuulizeni sisi tuliokuwepoi. Ni nani alimfuata nani?

duh i guess hilo sio swali na atakaeuliza sio mzima as yajulikana fika ni nani alimfuata nani!ni mojawapo ya his dreams kubecome true jamani!
nshasema tena next muda waandaliwe hao kina JLo,Beyonce n kadhaa wa kadha
 
"Mchelea mwana hulia na nduguze" na " mchuma chuma huchuma visivyoliwa". Sasa huyu mlimchagua kwa asilimia 84, sasa anawatia majanga. Mlishaambiwa sio kila mweupe ni mzungu, wengine mazeru zeru.
 
it's so absurd and indeed defies logic for our dear President to attend such an event whose motives are not clear.Were it a musical concert for fundraising to help the hungry and poor and the sick and JK asked being a guest of honor for the event ingeeleweka,yaani ingekuwa kama ile ya USA 1984 for Ethiopia,hapo hata angepiga picha na kina Beyonce,Rihanna,J.Lo,Eve,Lady Saw,Foxy Brown et al ingeeleweka...

Or was it to fulfil a long held dream and make true of his alias "Boyz II Men"?Please JK may you be serious for a moment?History will record all that you are doing now and as Bob Marley put it"time will tell..."
 
Katika hili waungwana hatuko fair enough kwa mh.President wetu
Acheni mungu aitwe mungu kwani inampasa kila aliye binadamu alitambue hili kwa kina.

JK yuko sahihi sana kupiga picha na vijana wale kwa sababu zifuatazo
1. Tafsiri nzima ya Sulivan org
2.Hata yeye na Ndanda Kosovo walishaitwa Boyz to Men
3.Ni waafrika wenzetu tatizo nini jamani????????
 
Du!!! JF kuna uhaba wa watu wa kuchambua hoja,,, ndio maana mauza uza kama haya yanaonekana ni hoja ya Kujadili...
 
Zaidi ya winter shopping kingine ni hiki hapa. This is where our Humble President feel more at home. Tazama tabasamu lake hilo utafikiri yeye ndiye meneja wa hao BOYZ II MEN

Boys_ii_Men_with_Kikwete1.jpg

Hatupingi kupiga picha, tunafurahia kuona alivyotoka chicha na kundi lake zima la Boyz II Men. Muungwana yuko social, hilo hatuna wasiwasi, ndio maana hata TMK wanaume wameweza kuingia ikulu.

Afu hiyo flag yetu hapo nyuma inaweza kuvutia wawekezaji!

Mwanakijiji pls iunganishe hii picha kwenye lile shindano letu la bendera ya Taifa. I rank this as the best of JF photos in 2007.
 
Mwacheni prezooooooooo ale happy, bwana atleast aliwahi kupiga picha na BOYZ 2 MEN. GUD PREZOOO.
 
it's so absurd and indeed defies logic for our dear President to attend such an event whose motives are not clear.Were it a musical concert for fundraising to help the hungry and poor and the sick and JK asked being a guest of honor for the event ingeeleweka,yaani ingekuwa kama ile ya USA 1984 for Ethiopia,hapo hata angepiga picha na kina Beyonce,Rihanna,J.Lo,Eve,Lady Saw,Foxy Brown et al ingeeleweka...

Or was it to fulfil a long held dream and make true of his alias "Boyz II Men"?Please JK may you be serious for a moment?History will record all that you are doing now and as Bob Marley put it"time will tell..."

You are Very right...!!!honestly its Shane to our prez'
 
Lakini kwani hao Boyz II Men hawakutamani kupiga picha na president wa Tz? Ingeleta maana gani kama hao wanamuziki wangemwomba JK apige nao picha, halafu ati yeye akatae! Yani angetoa maelezo gani ya kuwakatalia kupiga nao picha? Hivi tunataka rais ambaye yuko anti-social, anayeogopa hata kupiga picha na watu kwa ajili ya kumbukumbu zao? Yapo ya kushutumu kuhusu JK lakini hili la picha naona halina msingi wowote!

The bigger issue si JK kupiga picha, bali kuwa katika mazingira hayo (Sullivan) huku watu wakimchota kisaikolojia na vikolombwezo vya udaktari na ma-award huku wakijiandaa for the kill. One need not be a Kasparov to see this move.
 
Back
Top Bottom