Hashim Lundenga

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
11,913
2,000
Hashim Lundenga hatimaye Ameomba radhi kwa watanzania woote....kuhusu kufanya miss tanzania siku ya majonzi!
 

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,152
2,000
Hashim Lundenga hatimaye Ameomba radhi kwa watanzania woote....kuhusu kufanya miss tanzania siku ya majonzi!
Atoke zake huko,wapemba watu wazuri sana katika biashara hapa mjini then bwana mkubwa anataka kutuharibia uhusiano wetu bwana.
 

jameeyla

Senior Member
Aug 12, 2011
119
0
mange ni mpambe nuksi wa vodacom,,sijui ataifutaje kauli yake aliyoitoa kuhusu ajali hiyo na miss Tanzania.
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,738
0
Hahahahaaaa,,,,,,,anaomba radhi au anatoa pole,,,,,,,,,,,lundenga alishawah kusema kuwa hata wasipomzika wata,,,,,,,,,,mtupa ,maana atanuka,,,,,mtu kama huyu inakupasa umfikirie anafikiriaje??????
 

Bayo

Senior Member
Jul 2, 2009
195
0
kufikir kutumia masaburi, maana yke huwa n nn? M huwa celew kabisa io kitu
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Yes, si unajua baadhi ya watu wanaojifanya na kujiita maarufu na baadhi ya wanasiasa wanafikiri kwa kutumia MAKALIO badala ya vichwa!!
<br />
<br />
hana uchungu na Watanzania. Niliamini kuwa wazee wanabusara, ila kwa Lundenga ni zero. Anafurahia kuchungulia mapaja na chuchu za wajukuu zake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom