Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 745
- 427
[h=4]
[/h]
Leila Lopez akivalishwa taji la Miss Universe.
Shindano la 60th la Miss Universe 2011 liliofanyika katika jiji la Sao Paulo Nchini Brazil lilihititishwa kwa Mrembo wa Angola Leila Lopes kuibuka mshindi kwa kuvalishwa taji na Mrembo aliekuwa anashikilia taji hilo.Shindano hilo lilikuwa linashirikisha mbalimbali karibu Nchi 90 toka hapa Duniani.