Habari wapenzi wa muziki mzuri
Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk...
Kwa wale ndugu zangu wale tuliokuwepo enzi za ujana wetu....club hizi zilivyokuwa zinavumaaa
1.fm club...pale kinondoni.....
2.club billicass....enzi zile germssion party every sunday...saa nane...
Hakika hii ni habari mbaya kwa nchi yetu maana yule celebrity class A ambaye ni role model wa watoto wa kike hapa Bongo ameamua kuchukua uraia wa south africa
Ama kwa hakika this is very sad...
Asma majid kwa sasa ndio mrembo namba moja Tanzania, na africa kiujumla.
Pamoja na kuwa na elimu ya masters in economics, ambayo aliipatia pale oxford uingereza, havijamzuia kufanya tasnia yake...
Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu...
Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika...
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]
#forgive me
Shabiki wake nimem miss sana.
Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru
Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm
Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza...
Msanii wa muziki na 'dancer' nchini, Chino Kidd, amefunguka kuhusu kisa cha kusikitisha kilichomnusuru kifo baada ya kukamatwa akiiiba, tukio ambalo lilienda sambamba na msiba mzito wa mdogo wake...
Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
Mtoto Wa El chapo Ovidio Guzman Lopez amekiri kosa baada ya kukutwa na hatia kesi ya kuendesha magenge ya madawa ya kulevya nchini marekani.
Ameweka wazi na kukubali kushirikiana na serikali ya...
Sean Combs maarufu kama Diddy anatarajiwa kuachiliwa kutoka gereza la shirikisho la Marekani mapema zaidi baada ya tarehe yake ya kuachiwa kurekebishwa tena, kulingana na taarifa mpya...
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.
"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda...
Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata....
Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongeo la t***o Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika maneno haya...
Hatimaye mkali katika tasnia ya sanaa nchini Wema Isaac Sepetu leo usiku amevishwa pete na jamaa kutoka machozi band anayekwenda kwa jina la Mwinyi na kudhihirisha ukisema chanini wenzako wanasema...
Wakati wa maonesho ya FIFA Countdown Concert yaliyofanyika jijini Los Angeles, msanii maarufu wa Nigeria Davido alivutia hisia za wengi baada ya kuvaa koti maalum lenye ujumbe "Bring Them Home" na...