Huyu jamaa (Manji) aliwagombanisha hawa vijana(Orijino Comedi, Masanja Mgandamizaji ) na mheshimiwa Mengi akawatoa Channel 5 kwa mbwembwe na trip ya UK na mishahara mizuri, hadi ikafikia hawa...
Jay-Z has said he would stop using the word 'bitch' after he and Beyoncé Knowles had a daughter, Blue Ivy Carter. Photograph: Reuters/Corbi
Nilifikiri heshima hahitaji hadi ulizwe au utishiwe...
Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto...
Heidi Klum and Seal -- are they splitting up? That was the question over the weekend, and on Sunday the couple confirmed the news: After seven years together, they are calling it quits.
"We...
Supermodel Heidi Klum and singer Seal were reported to be heading for divorce, but yesterday's rumours have taken a more positive turn overnight, with claims the couple haven't split yet...
Ndugu zangu leo nimepita kwenye FaceBook wall ya Nnape Nnauye nimekuta amejipachika jina la Nape Nnauye (Mtoto wa Kuli). Kwa kuwa mimi nilipata kumjua vizuri Baba yake, Mzee Moses Nnauye na kazi...
By Kat Giantis
Ouch. This one truly hurts. TMZ claims that Heidi Klum is about to file for divorce from Seal after nearly seven years of seemingly head-over-heels togetherness. Word is, she could...
Chiku keto aondoka la familia na amesema wazi kuwa chidi ndio chanzo kwenye mpango mzima wa yeye kuondoka., kwamba chidi hajui management na pia si muwazi., sasa hivi la familia ina watu wawili...
Ni binti mdogo wa Snoop aliyezaliwa miaka ya 2000,ameanza vizuri na ngoma yake aliyeiachia mwanzoni mwa october mwaka jana 2011 "Do My Thang",Je atakuja kumdhibiti Willow Smith?
Kipindi cha miaka ya 90 alitokea msanii nguli wa hip hop nchini kutoka kundi la hard blasters alikua akifundisha na kuelimisha kwa wakati 1 kumbuka nyimbo kama,chemsha bongo,zali la mentali,ndiyo...
Kush rolled, glass full; I prefer the better things, tweeted Rihanna as she sat perched on a boulder in Hawaii. The Talk That Talk singer was quoting a common lyric from friend, Drakewho was...
Katika harakati zao za kuukomboa huu muziki na uzinduz wao wa Arusha, kund la VINEGA limeingia katika beef na VATOLOCO kundi linaloundwa na kina Ibra D Hustler.. haijafahamika clearly chanzo cha...
Mwaka jana 2011 Staa wetu Joseph Shamba (Vengu) alikuwa anaumwa amelazwa hospitali ya MUHI2 na habari hizo nilizipata humu kwenye Jukwaa letu la Jamii Forum. tulimhurumia sana na kumwombea juu ya...
Leo nilikuwa naangalia East Africa tv nikakuta kuna nyimbo ya Dull Sykes nadhani ni mpya, ina shairi moja linalosema " iba, kaba ilimladi usikose party.." Nijuavyo mimi vijana wa kitanzania...
Yesterday Jennifer Lopez and Marc SHOCKED EVERYONE...by attending the premier of their new REALITY SHOW together...holding hands and both luking and ACTING like couple.The pair arrived...
MWIMBAJI wa zamani wa bendi ya African Stars maarufu kwa mtindo wa Twanga Pepeta, Chalz Baba inasemekana tayari amesaini mkataba wa miaka miwili na bendi ya Mashujaa kwa kupata donge nono...