Nape Nnauye anajiita 'Mtoto wa Kuli' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye anajiita 'Mtoto wa Kuli'

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TUMBIRI, Jan 22, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ndugu zangu leo nimepita kwenye FaceBook wall ya Nnape Nnauye nimekuta amejipachika jina la Nape Nnauye (Mtoto wa Kuli). Kwa kuwa mimi nilipata kumjua vizuri Baba yake, Mzee Moses Nnauye na kazi alizokuwa anafanya nabaki kujiuliza hivi Nape anajua vizuri maana ya neno 'KULI' au analitumia tu kama vile akiamua kujiita 2Pac!

  Tumshauri Nape jamani aachane na hilo Jina!


  Source:
  Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
   
 2. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  kaota ndevu ila bado hajakua, maajabu mtoto wa kigogo anajifananisha na mtoto wa mlalahoi
   
 3. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamuiga Pinda "mtoto wa mkulima"
   
 4. k

  kuzou JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukiwa nyani huna haja ya kusema baba yangu nyani"tafakari"
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kakosea alitaka kusema mtoto wa nje ya ndoa
   
 6. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyu dogo sifa zinamdhuru, wanaomsifia ndo wachawi wake.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Inawezekana kamjua his real father
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  faza wake wa ukweli ni nani ?
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  ndo siasa za bongo-udogoishaji/uduniishaji
   
 10. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Nadhani hivyo, hatuna budi kumpongeza, at last he is happy nw to hav a real father
   
 11. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Kuli.....
   
 12. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kuli aka mbeba mizigo labda ndo kazi yake ya mwanzo,mbona mwalimu anaendelea kuwa mwalimu tu hata akiwa Raisi
   
 13. Mbayuwa2

  Mbayuwa2 Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa kuli, anataka kumficha nani huyu vuvuzela. Amekosa cha kuropoka anaanza kujisemea mwenyewe. Tumwache tu hadi 2013 atataja majina yake yote na ya baba yake mzazi.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,483
  Likes Received: 5,867
  Trophy Points: 280
  Labda Moses sio baba yake.........ila sipendi mnavyoleta za fesibuku huku JF
   
 15. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Si Nape bali viongozi wote wa ccm. Mtaji wao mkuu ni kulaghai wakeshahoi kwakujifananisha nao ili wawawin.
  JK naye alikuwa akijiita mtoto wa mtaani. Ni vitu vya kawaida kumkuta kigogo na tajiri au fisadi akilia lia kuwa ana vijisenti tu
   
 16. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ][​IMG]

  Bonge la sharobaro au?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...