Joseph Shamba(Vengu) wa Orijino Komedi anaendeleaje KIafya mwaka huu wanajamii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Shamba(Vengu) wa Orijino Komedi anaendeleaje KIafya mwaka huu wanajamii?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Inanambo, Jan 16, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  Mwaka jana 2011 Staa wetu Joseph Shamba (Vengu) alikuwa anaumwa amelazwa hospitali ya MUHI2 na habari hizo nilizipata humu kwenye Jukwaa letu la Jamii Forum. tulimhurumia sana na kumwombea juu ya afya yake ili aweze kupona na kuendelea na kazi yake ya kuburudisha watanzania kwa vichekesho. Mwaka huu sijasikia habari zake kama maombi yetu yamejibiwa na yeye kupona au bado ni mgonjwa au ameshatwaliwa kama Mzee Kipara(Mungu amrehemu). Tafadhali mwenye taarifa za afya yake anijulishe. Natanguliza shukrani.
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,471
  Likes Received: 4,744
  Trophy Points: 280
  una lako jambo???
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  si alishapelekwa India?
   
 4. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  asante Saint Ivuga kwa kunipa taarifa ya mahali alipo Vengu. Mungu amponye arudi bongo mzima.
   
 5. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Mungu ampe nguvu apone haraka na kurejea kutoka huko India!!
   
Loading...