VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wambuzi, Jan 3, 2012.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Katika harakati zao za kuukomboa huu muziki na uzinduz wao wa Arusha, kund la VINEGA limeingia katika beef na VATOLOCO kundi linaloundwa na kina Ibra D Hustler.. haijafahamika clearly chanzo cha ugomvi ni nini lakini aliwahi kukaririwa Adili wa vinega akimshutumu mmoja wa wasanii wa Arusha, Fido. VATOLOCO wanarelease leo track inaitwa NJAA ZA VINEGA ambayo imefanyika Noizmekah R chuga.. Sasa hawa VINEGA wakianza beef namna hii tutafika kweli, au hizi harakat n za kuwanufaisha wao tu then wale chocho wakishapata vyao.???
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  mimi ni kinega lakini hali ya kutotaka kuungana na wenzao ili kujikomboa ina nitia wasiwasi. badala ya kupambana kukomboa mziki wa bongo wao wanapambana eti nani ni mwanzilishi wa hiphop bongo. kua mwanzilishi wa hiphop si dili kwani hata wana hiphop wakifa hiphop itaendelea kuwepo. mi naona waungane wote wenye mapenzi mema na mziki wa bongo wasio jua waelimishwe ili kupata support. LAKINI vilevile hiyo wanayofanya ndo hiphop yenyewe. hakuna bifu hakuna hiphop. hiyo truck itatangaza vinega sana. Mia
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  wewe wambuzi na mtambuzi mna undugu? Mia
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Tatizo hao VATOLOCO hawajui dhamira na shabaha ya VINEGA, au wanajua ila wanatumiwa na hao jamaa wa mawingu FM kudhoofisha harakati za VINEGA kupinga unyoonyaji kwenye sanaa hiyo ya muziki!
   
 5. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hapana mkuu... Kwanini unasema hivyo boss???
   
 6. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Halafu kitu kingine ni kny uzinduz wao wa dsm haawajapandisha underground hata mmoja.. Yaan show nzima wamepiga wao.. Kibongobongo hatuend hvo aisee..
   
 7. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Vitoloko ndio wanatafuta beef na Vinega,na bado hadi sasa haijaeleweka wana nia gani...unajua tena masela wa chuga!!
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwenye show walipanda underground kibao tu mbona!?D waGetto,Isanga family nk..kama hauna hoja ya kumchafua mtu ni bora kutulia tu kaka.
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hakuna kinega asiyetaka kuungana na wenzao,ila wenzao ndio hawataki kuungana nao kwa uoga wao au sababu nyingine..mbona wameshawaomba machiz kibao kuwaunga mkono lakini wamechomoa,mtu kama Kalapina walishaongea nae akasema hawezi kuufanya harakati na wakuja,mtu kama JohMakini adi vikao vya Vinega alikuwa anaudhuria pale kwa Magenge......
  Kina Afande,Inspekta,FA,Nature na wengine walipanga mipango mizuri na jamaa mwisho wa siku wakaishia kuwageuka tu..sasa mlitaka wawafunge minyororo???
  Kumbukeni wasanii wetu ni waTZ na mnajua wabongo inapofikia hatua ya kupambana kwa vitendo,wengi sound nyingi utadhani wanaharakati kweli...

  Nilishamsikia Roma kwa masikio yangu akiiongelea movement ya Antivirus anasema 'hakuna harakati kwenye njaa'..
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa Sakina Noizmekah Kwa DX siku si mingi na nikasikiliza pia Nyimbo ya Arusha Pamoja walomuimbia Marehem Mr Ebo(RIP), Ndani kule kuna line moja inasema ....."sijui kama na yeye alikuwa kinega" refferin to the Late Ebo.
  Nikahoji why kina Fido yaani Vatoloko waseme hivyo? Nikaambiwa kuna beef. Kuhoji zaidi nikaaambiwa wezakuwa ni sababu ya either moja kati ya haya
  1. Waliomba too late kushiriki show wakashindwa.
  2. Au ni vile Umbwa mzee(Chindo) kajiunga na harakati za vinega,

  Au labda tu ni asili yao maana Fido na Ibrah ni waasi wa Nako2Nako, so wao kupinga ni kawaida
   
 11. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Co hvyo mzee mastomach... We mwenyewe ukwel unaujua mzee... Watu kama D wa gheto c wameshiriki hata kny albam.. Mfano ile track inayoanza mshkaj anasema "clouds ma..f...a.laaa" haina haja ya mabishano... kinachohitajika ni kushirikiana tu. Au sio Matumbo mzee wa Ishu bado, wahujumu muziki na hello wafu fm
   
 12. K

  Kalulu Metusela Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao wajiitao vatoloco mapumbavu..., wamemaliza show tu wakaanza mutaka hela Yao wakati mpango ulipangwa wasanii walipwe Kesho yake baada ya mahesabu., na waliambiwa wapi wameet.... Wamejiaibisha na wanataka kujulikanika kupitia mgongo Wa vinega..., na watu wamewajua baada ya mkasa wao.. Kwanza show Yao ilikuwa mbovu., bora hata hizo lawama zingetolewa na veejay, spark doggy au hata ghetto diva.., hao ndio wasanii nje ya vinega waliokinukisha..!
   
 13. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Poa arifuu
   
 14. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  roma mduwanzi tu!!..najua wengi macho yanawatoka hapa ila ndo nionavyo mimi.rookie's so fake and a big tym coward..........mistari yake ni kama anaimbia mtu mwingine,he's not in the music he does.so wewe ukiisikiliza inkugusa mbaya ila yeye haimuhusu as anafanya tofauti na anachoimba!...anaweza hata osha viatu vya ruta kwa ulimi now that msela alimchomoa toka kwenye msala fulani bila hata kujali huyo jamaa ana usafi wa kiwango gani contrary to what he(roma)'s presenting!
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  madhumuni ya vinega ni mazuri na yakuungwa mkono. Tatizo la wana hiphop popote walipo kila mmoja anataka kuwa juu. ndo maana hata kwenye kundi lolote lazime ukute ndani kuna beef sema wanakaushiana/heshimiana tu. na wanahiphop wana amini bila beef hautoki. nia ya vatoloco ni kutoka tu. Mr. Ebbo alikuwa kinega ndo maana siku ya mazishi vinega walihudhulia huku wamevaa tshirt za vinega. SO HAO VATOLOCO tuwachukulie poa. acheni na wao watoke kiaina. Mia
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  KALAPINA hawezi kuwaunga mkono vinega kwa sababu Kundi la VIRAKA(KIRAKA) lipo vinega. na VIRAKA walimeguka kwenye Kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambacho kinaongozwa na kalapina. RADO na COIN ndo wanaunda kundi la viraka na wapo vinega. Kalapina alikuwa anawafukuza viraka wasikae pale kwenye matairi ya BLOCK 41 Kisa si wazawa wa kino/dar es salaam. kalapina mbaguzi ndo maana joh. makini alimchana "wanaficha sura zao ili nisione machozi" "nawapigia nyumbani nawapiga ugenini" "mr.ebbo toka tanga.......n.k. Mia
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tatizo la fido alipomaliza kuimba akawa anataka chake halafu kina mkoloni wakamwambia asubiri asubuhi jamaa akaenda Facebook kaanza kuwa ponda watu wakamshangaa halafu baada ya kumaliza mahesabu wakamtoa lakini jamaa akawa anaendelea kuponda washikaji wakaendelea kumchana na bifu ndio lilipo anzia.

  chengine kumbe fido alishawahi kutekwa na watu waka.... nisababu kama hizo alizo fanya hapo juu kuwa kuwadi..
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  sir. nature, juma nature hawezi kujiunga na vinega kwa sababu ya tamaa ya vitu vidogo. sir nature anabebwa na clouds media. Kumbuka hata siku ya mpambano wa wanaume halisi(nature) na wanaume tmk(temba) ushindi ulienda kwa wakina nature wakati hawana nyimbo. nature kila concert inayo andaliwa na clouds media lazima aitwe bila kujali ana nyimbo mpya au hana. na nyimbo zake zinapigwa kama kawa. so hawezi wasaliti clouds media sababu ndo wamemuweka mjini. hadi kanunua magari na kujenga nyumba. Mia
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280

  kweli mkuu. Roma anafikiri akisimama peke yake anaweza. amuulize afande sele. Roma mistali yake mizuri but hafikirii Kesho. dogo anapotea. Mia
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hao Vataloco watakuwa wanatafuta huruma ya Clouds FM kupigwa nyimbo zao
   
Loading...