Nimeikuta hii picha Mahala sijui imekaaje kimtazamo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeikuta hii picha Mahala sijui imekaaje kimtazamo?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by TUMY, Jan 19, 2012.

 1. T

  TUMY JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kutafakari tangazo hilo kidogo linanipa mashaka kwanini maneno haya kila siku ama yana ukweli ndani yake.
  View attachment JAY Z.doc
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  huyo mchungaji ni kweli aliweka hilo bango ila akaambiwa alitoa na akalitoa
   
 3. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 557
  Trophy Points: 280
  Duh!Cha kufanya ni kushika kile ulichonacho halafu hutaona mambo kama haya yakikunyima raha
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Duh maono ya kina Mwingira na Mzee wa upako haya
   
Loading...