Prof. Jay ameishiwa kisanii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Jay ameishiwa kisanii??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Fraddle b, Jan 20, 2012.

 1. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipindi cha miaka ya 90 alitokea msanii nguli wa hip hop nchini kutoka kundi la hard blasters alikua akifundisha na kuelimisha kwa wakati 1 kumbuka nyimbo kama,chemsha bongo,zali la mentali,ndiyo mzee,nikusaidieje,hapo vp,msinitenge na nyimbo nyingine kali, lakini cku za karibuni nashndwa kumuelewa huyu legendary, mfano angalia nyimbo za sasa, HAIPO IPO,afu na hi KAMILIGADO Cyo level zake so ni kwamba ameishiwa kisanii?
  Nawasilisha wadau!
   
Loading...