Pendaeli Omari yuko wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendaeli Omari yuko wapi jamani?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by trachomatis, Mar 30, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nampenda kwa jinsi anavyoandaa vipindi vya michezo vya kwenye luninga..

  Huyu bwana anaipenda kazi yake kweli! Kamarada wala hamfikii..
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afu kweli kapotea sana, ni muda sasa sijamuona akitangaza tbc1.
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ana bashasha sana akitangaza na anaandaa kipindi kwa minajili ya kukifanya kivutie kwa mtazamaji....
   
 4. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Au nae hakwendana sera za tbc,tuseme alikuwa na mwelekeo wa Tido wamemuondoa? ccm hawakawii
   
 5. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ameondoka tbc muda mrefu,yupo radio Pangani.
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Watakuwa washamba sana na wasiokwenda na wakati,conservertive,na wachawi wa maendeleo ya TBC na walafi wakubwa wa kodi zetu!
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ya wapi hiyo mkuu..
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Pendaeli aliifanya TBC iwe juu kwenye habari na hasa za michezo, kuna kipindi alishika uhariri wa michezo na kiukweli kapotea sana, nadhani hapa tutaelezwa yupo wapi.

  Yeye na Msami walikuwa wako huru mbele ya kamera, hawakakamai kama wengine na utapenda kuangalia wanachotangaza. Nilisoma mahali kuwa Msami yupo BBC, ni ya kweli haya
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Je Joe kiampa naye yupo wapi?
   
 10. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama Pendaeli yupo ya pangani!joe kiampa atakuwa nyumba ya mungu TV!
   
 11. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kihampa sijui yupo wap.
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pendael anafanya kazi na kampuni ya BBC ku-train local radios...so kachukua likizo ya mwaka mmoja bila malipo...anasoma ramani kama BBC watamtunza fresh ndo anang'oka TBC1...anasafiri mikoa kama songea...tanga pangani...manyara...iringa...so ni kama mkufunzi now!
   
 13. c

  calvingyan Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simpendagi Marin hasan anajifanyaga kama ye ndio anajuaa kutangazaaaaaa afuu kama vile tbc ya kwake....!!!
   
 14. T

  TAMBWE Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap pendaeli alikuwa vizuri.Kipindi cha TIDO alikuwa na vijana wazuri sana.Ila baada ya kumtimua,nadhani na wao watakimbia.Maana TBCCM sasa ni maslahi ya chama na serekali kwanza...mengine baadae...
   
Loading...