Huyu si nanihii huyu?!!

changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
90
Nanihii.jpg

Huyu si nanihii yule au namfananisha tu? Kabambwa anafanya shopping mahali
 
iyo labda ya maktaba...alishakufa kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali ya CCM iliyopo madarakani.over
 
Huyu aliyefanya hii photoshop ana haribu dhana nzima ya kuwa Balali yupo hai. Poor Beginner's Photoshop. Hata mtu ambaye hajui photoshop akiangalia vizuri anaona imetengenezwa
 
..mie nimeongea nae ktk cm juzi...n i the who took that photo...
SHE is alive...ila mikono yake imebadilika imekua na manyoya kama ya kitimoto...
 
yah ni mwenyewe mkuu anakaa BROOKLYN NEW YORK huyu karibu na nyumba ya terrace presenter of 106 & park ya BET.. hii jamaa ina hela sana na hapo ni supermarket ya brooklyn inaitwa traviscoy.... naomba kuwasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom