EA Radio:"JCB tunampa Msela [Joshua Nassari] Big Up!!!"Hiki ndio Kizazi Kipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EA Radio:"JCB tunampa Msela [Joshua Nassari] Big Up!!!"Hiki ndio Kizazi Kipya

Discussion in 'Celebrities Forum' started by DSN, Apr 2, 2012.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Leo nilikuwa nasikiliza kipindi East Africa Radio ambacho kinaendeshwa na Misago,alikuwa anafanya mahojiano na Msanii maaarufu kanda za kaskazini JCB,kuwa anaionaje hali ya Arusha na maswala mazima ya uchaguzi na maendeleo yake.Katika kuonyesha kweli tulipofika ni zama nyingine JCB alisema hali ni shwari baada ya uchaguzi na kuwa wanampongeza Msela [akimaanisha Joshua Nasari].

  Hakika nilichokiona ni picha tofauti sana ambayo imezaa kuwa tuko zama za kizazi kipya na kina lugha yake ambayo Joshua Nasari anaijua na kuiongea yeye na vijana wenzie yani mpaka JCB anajisahau huyo anamwita MSELA [ni mheshimiwa mtarajiwa]. Ama kweli hizi ni zama nyingine kabisa na kila zama na vitabu vyake.
   
 2. F

  FEISAL ABDUL-pro New Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes now we taste the changes let stand up for our rights to select representative ameen..!
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  kama ni msela atabakia kuwa msela tu .'msela ni msela mbunge/muheshimiwa jina'
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mbona ushangai Joseph Mbilinyi kujiita Sugu/Kinega?....
   
 5. n

  nketi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanaume kazini.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  JCB-JESUS COME BACK huyu msanii ni wa miaka mingi sana lakini kutokana na mafisadi kama clouds fm amejikuta hapewi fursa...hongera nasari aka dogo janja
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  mambo ya pipo pawa
   
 8. M

  Majanga New Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JESUS comes BLAcK.... alunta continua.....
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  huu umungu wanaotafuta viongozi wetu ndo unaowafanya wakifika majimboni wanaishia kwenye magari na kutoa mikono tu baada ya hapo uchaguzi ujao inakuwa shughuli.
   
Loading...