Hebu kuweni fair, yaani Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J anakenua meno tu wakati...
Hebu niambieni yuko wapi dada huyu baada ya kuwa ametumika na akina Chipungahelo ktk mambo ya Miss Utalii na miss world Bikini. It seems few are benefiting from all these parading and cat walking...
Mwanamziki mwenye asili ya kongo aliyetamba kipindi cha nyuma na wimbo wake wa nuhu tufungulie safina kossovo kichaa amerudi tena kivingine. Baada ya kuwa amafukuzwa nchini alipokamatwa arusha...
Mtoto wa Whitney houston Bobbi Kristina aliye na mahusiano na kaka yake wa hiari sasa amechumbiwa,uhusiano wao umezua gumzo na baadhi ya familia yake hawakubaliani na uhusiano huo,wanahisi kaka...
DMX amesema hajui kutumia computer kabisa, eti inamuogopesha hata kuiangalia!
DMX
Rapper mwenye sauti ya kipekee hasa kwenye miondoko ya Hip Hop DMX, ameweka wazi kuwa ameshindwa kabisa...
Jana usiku akiwa ktk kipindi cha mikasi alikanusha madai ya Watz waishio ughaibuni kuwa ameisaliti Tz Na mlima kilimanjaro na lugha maridhawa Kiswahili. alidai kwa kua kiswahli na ml Kilimanjaro...
Kelvin Jackson Twissa'sio kwa ubaya ila heshima kwake huyu mkuu he is genius na anajua anachokifanya na vijana wengi waliopo makazini wanataka kufika nafasi au level kama yake
japokuwa sio kubwa...
Jacqueline Ntuyabaliwe
Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua...
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds...
Jana mtu mzima AY katokelezea kwenye segment ya copy and paste kwenye kipind cha orijino commedy -TBC 1,shukrani zimwendee joti kwa kuwafichua vilaza wote wanaojiita wanamziki,
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe...
Nilikua na hamu kweli ya kuangalia mahojiano ya Mrisho Mpoto 'Mjomba' na Salama kwenye kipindi cha Mkasi nikitegemea kukutana na Kiswahili kilichonyooka na misemo mitamumitamu ya Kiswahili...
Clouds haiwathamini wasanii wa bongo,wamerusha hewani show ya wasanii wa bongo halafu hawakuonyesha ya Rick Ross,wangeonyesha show zote au wasionyeshe zote.
STAA wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu' ametoa la moyoni kuwa, anaumizwa na kitendo cha baadhi ya wanaume kumtumia kimwili kisha kumtosa.
Akizungumza kwa masikitiko hivi karibuni...
Nimehudhuria show nyingi za pamoja kama Fiesta zinazowakutanisha wasanii wa muziki wa aina tofauti.Nimegundua wasanii wa Bongofleva a.k.a wabana pua huwa wanapotezwa vibaya na wasanii wa...
Aisee fiesta fell out of expectation, watu ni wachache, na wengi wao waliopo ni watoto wa secondary, ukiviona vidogo ,vinakunywa bia na fegi. Wale vijana wanaofeli fom 4 ndo wateja wa fiesta...