Fiesta watu wachache= Hasara

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Aisee fiesta fell out of expectation, watu ni wachache, na wengi wao waliopo ni watoto wa secondary, ukiviona vidogo ,vinakunywa bia na fegi. Wale vijana wanaofeli fom 4 ndo wateja wa fiesta, halafu wote ni wasanii(under grounds), mademu wao wanataka kuwa bongo muvi
 
si nimesikia msanii mualikwa ni kutoka kile chama cha kina Chande...labda ndio sababu!!
 
Nnachokiona hapa clouds tv ni muziki kukata, mike kuzimika ghafla na live band kupwaya. Mpaka sasa wasanii kama Dayna, Barnaba na Rich Mavoko wameharibiwa show zao na wamekuwa frustrated kwa kweli. Labda baadae fundi mitambo atatulia, mie naenda zangu kulala tu.
 
nnachokiona hapa clouds tv ni muziki kukata, mike kuzimika ghafla na live band kupwaya. Mpaka sasa wasanii kama dayna, barnaba na rich mavoko wameharibiwa show zao na wamekuwa frustrated kwa kweli. Labda baadae fundi mitambo atatulia, mie naenda zangu kulala tu.


yaani ni aibu live gani hii sauti mbovu clouds inabidi mjiangalie upya hii ni fiesta ya pili au ya tatu kama sikosei kurusha matangazo yenu live nilijua mtakuwa mrekebisha makosa yenu ndo kwanza ndo yanaongezeka kusaga waombe super sport waje na gari yao ya kurusha matangazo hapo mjengoni clouds wawafundishe vijana wako yani hii live yahapahapa inatushinda je ingekuwa mkoani ingekuaje super sport wapo tanzania wanapeleka signal southafrica na qualty za standard ya juu
 
Kuna siku fiesta ita back fire,ina faida gani hasa kwa kizazi hiki?au ina promote unywaji pombe kwa wanafunzi na ngono?ina promote Bongo flavor badala ya shule na masomo ya sayansi?sijui ni mtazamo wangu tu,burudani sawa ila ina expose sana vijana kuingia kwenye dunia ambayo hawajajiandaa nayo!!ni mtazamo tu!
 
Kuna siku fiesta ita back fire,ina faida gani hasa kwa kizazi hiki?au ina promote unywaji pombe kwa wanafunzi na ngono?ina promote Bongo flavor badala ya shule na masomo ya sayansi?sijui ni mtazamo wangu tu,burudani sawa ila ina expose sana vijana kuingia kwenye dunia ambayo hawajajiandaa nayo!!ni mtazamo tu!

Kwani wanalazimishwa kuenda?
 
Huwa ni mpango wa shetani aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Dah wabongo kwa majungu tu tunaongoza,nilikuwepo leaders na show ilijaza watu wa kutosha kama kawaida yao ingawa nauli ilikuwa juu(20,000) so stop hating kinega
 
Back
Top Bottom