Madam rita & master jay mnajichora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madam rita & master jay mnajichora

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Hon.MP, Oct 8, 2012.

 1. H

  Hon.MP Senior Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu kuweni fair, yaani Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J anakenua meno tu wakati taaluma inanyewa hivi hivi?

  Sipendi kuamini kuwa kuna watu wameandalia ushindi siku nyingi lakini mkiendelea na upuuzi huu sisi wapiga kura tutaanza kuwapigia ninyi kura za kukosa imani nanyi. Angalia mlivyombeba yule Salma (mhindi) amewashinda kubeba mgongoni mwishoe mmeamua kumbwaga kwa uchungu sana. Huyo hakustahili hata kuingia BSS 21 bora, ni dada anaye temea mate tu kwenye kipanza sauti na sauti ya kuua ngoma za masikio ya watu.

  As for Salama Jabir huwa hatumchukulii serious maana inategemea kaamkaje na nani kampa kaneno ka kumzuzua perfomer. Lakini kwa Master J (mtaalam wa muziki) na Madam Rita (Chief Judge) angalieni sana mnahatarisha biashara yenu, maana siku za usoni hakuna atakayetoa udhamini kwa kuwa na upendeleo wa wazi namna hii.

  Sikilizeni, mimi simfahamu yeyote katika washiriki lakini nawashauri kuwa hivi nyote watatu kaeni mahala m-playback episode ya Jumapili 07/10 mumsimilize Vincent as compared to the others Wavulana kwa wasichana (mtaona Kijana ana sauti ya mvuto, kaimba vizuri, good choice of song with a lot of feelings, anatawala steji, anaimba mistari ya kutosha sio kama wengine wanaimba kidogo tu halafu kudance na kuchombeza viungo yaaa!! yeeee!! n.k. Yaani hata ingawa Wababa namkubali lakini kwa episode ya Jumapili alifunikwa na Vincent maana alikuwa na wimbo wa kubore na hakuna cha maana cha kumsifia kwa siku hiyo na ndivyo ilivyokuwa kwa wengine wachache ambao hakika walikuwa off tune na wamewekwa tu danger zote.

  Msibweteke na jina la mtu au alifanya vipi mwanzoni, toeni comments za ukweli kufuatana na performance ya siku hiyo! dada mpiga gitaa anaweza kuwa musician kwa kuweza kuchalaza nyuzi lakini kwa sauti na hata kutamka maneno hawezi anaumauma maneno na anaimba sauti isiyo na mvuto tena yenye pitch ya chini sana kila siku na kujificha chini ya kivuli cha usanii. Naye mumsikilize yeye toka episode ya mwanzo mtaliona hili waziwazi na mtaona aibu kwa kumsimamia na kumsalute wakati ni mweupe.

  The more you stand for professionalism, truth & fairness, the more we shall support this Epiq BSS-programme & Benchmark production Ltd.:A S embarassed:
   
 2. m

  mourad77 Senior Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa mkuu mimi toka walipomtoa rossemerry mpangala nikaona hapo kwenye ujaji kuna walakini na wala sioni kigezo cha kumpa ujaji huyo salama muziki wenyewe haujui kazi kutusi watu na kuongea upuzi tu hana hata aibu na huyo rita angewapisha watu wenye taaluma ya muziki akabaki kuwa mmiliki tu wa bss kweni lazima nae awe jaji au ndio mambo ya uuza sura hana uweledi kabisa huyo ni mlevi tu salama mabangi
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  No wonder why!
  Washindi wa hako kamradi huwa wanaboronga tu kwa soko, I loved Amanda Walter kwenye BSS I, wakaja kumtoaga. Tangu kipindi iko hata siangaliagi hiyo makitu...
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,359
  Trophy Points: 280
  Hii kitu nilianza kuiona haina dili toka walivyomtoa Rosemary Mpangala.

  Nilijua tu kuna mtu wao wanamuandaa!
   
 5. S

  SHERRIE Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi nilishaamua kuangalia bss kipindi cha auditions nijionee vioja nicheke basi. Huku kwingine sina habari napo kabisa, judgment zao zinanifanya niamini mshindi wao wanamjua.
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  BSS-Bongo Star Fake.
   
 7. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nani kakwambi kuwa Joackim Kimario (Master J) anajua muziki? studio yake ya masaki alikuwa anasaidiwa sana na injinia mmoja anaitwa Marlon Linje sijui kwa sasa alipo,wale wengine wote hawajui muziki kama yeye tu!
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Sina la kuchangia kwa sababu vipindi vya kijinga kama hivyo huwa sina muda navyo sawa na kipindi cha mkasi.
   
 9. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  sa mbona haiji hapo.Labda ungeifupisha BSF
   
 10. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  we unafauatilia vipind gan visivyo vya kijinga?taja vitatu tu
   
 11. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wengine hatukuona marudio n lin mkuu
   
 12. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  hii kitu naona wamewaiga x factor maana na kwenyewe kule mambo sio mambo last time yule ma favorite alikuwa astro & chris rene naona wakawababia wakamchukua yule dada aliyekuwa kwenye audition ya florida
   
 13. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mie nilidhani hao wametolewa kwasababu Kura hazikutosha.
   
 14. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuhusu Vicent sikubaliani na wewe, kwani kiukweli dogo anajitahidi lakini sio mkali kiviile, yaani alikua wa kawaida sana kama wenzie. Perfomance yake kwa jana ilikua nzuri lakini bado ukimuangalia nahisi bado hatishi.
  Hapo kwa kale kahindi upo sahihi 100%. Nilikua najiuliza walitumia vigezo gani kumuweka pale. Yaani eti kale kahindi koko kanaingia 21 bora. Kwanza hakajui kuimba, kanapiga makelele tu na kujaza mate kwa vipaza sauti. Thank God ametoka.
  Kuhusu judgement za hawa majaji sijui tatizo ni nini lakini nina wasiwasi na uwezo wao.
   
 15. M

  Mimi. JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Vicent hakustaili kutoka wamemuonea maana hata kwenye danger zone hakuepo kuna kale kavula keupe sijui kanaitwa nani mfupi ana pank alikua danger zone last time yule ndio alitakiwa atoke wamembeba itakua Madam anamtaka
   
 16. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  uwe mkweli we ndiye unamtaka yule dogo now unamuonea wivu madam!!:eyebrows:
   
 17. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Hivi ivyo vipaji wanavyotafuta mbona tokea BSS imeanza sioni hata mmoja akisikika kwenye Mass-Media??
   
 18. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  shikamoo madame Rita
   
 19. Type

  Type JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwa kwel sik hixi hamna kitu kabixaaa, wakal wanatolewa wanbaki vilaza tu, bora maha plus inakaribia kuanza nadhani ndo kitu chenye maana kwa sasa.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona hicho kipindi.
   
Loading...