Mjue genius wa mobile commerce tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjue genius wa mobile commerce tanzania

Discussion in 'Celebrities Forum' started by C.T.U, Oct 11, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  [h=2]Kelvin Jackson Twissa'[/h]sio kwa ubaya ila heshima kwake huyu mkuu he is genius na anajua anachokifanya na vijana wengi waliopo makazini wanataka kufika nafasi au level kama yake

  japokuwa sio kubwa kivile ila sio haba

  lakini hakuanza kama mchicha na hii ndio sehemu alizopitia mpaka kufikia hapo alipo


  [h=2]Kelvin Jackson Twissa's Experience[/h]
  [h=3]Head of Brand & Communication[/h][h=4]Vodacom Tanzania[/h]
  Public Company; 5001-10,000 employees; Telecommunications industry
  May 2012 – Present (6 months) Tanzania
  Responsible for all advertising, media, communication & sponsorship activities @ Vodacom Tanzania. To ensure all advertising campaigns and communications are fully in line with the company guidelines and standards as well as the brand values.


  [h=3]Director - Mobile Commerce[/h][h=4]Airtel Tanzania[/h]
  June 2011 – March 2012 (10 months) Tanzania


  [h=3]Marketing Manager - Acquisition[/h][h=4]Airtel Tanzania[/h]
  January 2011 – June 2011 (6 months)


  [h=3]Marketing Manager - Brand & Communication[/h][h=4]Airtel Tanzania[/h]
  January 2010 – June 2011 (1 year 6 months)


  [h=3]Director of Marketing (Ag)[/h][h=4]Zain Tanzania[/h]
  March 2009 – January 2010 (11 months)


  [h=3]Marketing Manager - Consumer Segment[/h][h=4]Zain Tanzania[/h]
  August 2008 – March 2009 (8 months)


  [h=3]Marketing Manager[/h][h=4]MIC Tanzania Ltd. / Tigo[/h]
  April 2007 – August 2008 (1 year 5 months)


  [h=3]Client Service Director[/h][h=4]FCB Tanzania[/h]
  January 2005 – March 2007 (2 years 3 months)


  [h=3]Managing Partner[/h][h=4]K.T. Concepts[/h]
  February 2003 – March 2005 (2 years 2 months)


  [h=3]Credit Dispute Manager[/h][h=4]Bank One USA[/h]
  September 2001 – December 2002 (1 year 4 months)


  [h=3]Account Manager[/h][h=4]Bank One[/h]
  August 2000 – September 2001 (1 year 2 months)


  [h=3]Store Manager[/h][h=4]Desmonds FormalWear[/h]
  September 1998 – August 2000 (2 years)


  [h=3]Account Manager[/h][h=4]Alliance Data Systems[/h]
  June 1997 – August 1998 (1 year 3 months)

  [h=2]Kelvin Jackson Twissa's Summary[/h]
  Experienced in developing appropriate commercial plans to meet the required business objectives.
  Develop long and short-term strategies based on an in-depth understanding of the ICT industry.

  Experienced in developing converged solution in the ICT sector by identifying areas of cooperation in delivering unmatched telecom, broadband & VAS solutions to Corporates, SMEs and consumers in emerging markets.

  [h=4]Specialties[/h]• Commercial Strategy
  • Marketing (Brand, Media, Acquisition, PR)
  • VAS & ICT Convergence Solutions
  • M-Commerce (Mobile Banking Solutions)
  [h=2]Kelvin Jackson Twissa's Languages[/h]

  • [h=3]English[/h] (Professional working proficiency)
  • [h=3]Swahili[/h] (Native or bilingual proficiency)


  MAONI YANGU
  ukisoma mpaka chini utagundua kuwa mbuyu ulianza kama mchicha sio tu unaingia kazini unataka kupokea mshahara millioni moja kwa mwezi unatakiwa ujitume, uchacharike na displine pia na uwe kichwa kweli kweli ili uendane na maisha ya kazini na uwe mbunifu

   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa kishua huyo yupo full exposed, o level shaban robert, a level mzizima, then franklin university ohio usa,,,.... Plus magumashi ya kuishi sana abroad na kubeba box kumemjenga sana....
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Yeah mkuu the guy kwakweli japokuwa mimi sina tabia ya kukubali watu ila watu kama hawa ambao they know what they are doing hata mungu ataniona wa ajabu nisipowapa compliment zao
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Hongera zake
   
 5. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pamoja na yote hayo... Bado mi siifahamu kampuni yake hata moja.

  Ni sawa na ndege aliyefunguwa kwenye kachumba kadogo (kwa kua anaweza kupeperuka humohumo , basi hujiona yuko huru sana). Kumbe masiki ndege huyu angajua jinsi ndege wa nje wanavyomuona...

  His "work" is still barried to his "job".

  Ni jambo la hatari sana kulewa na misifa ya kuitwa "mwajiliwa mwenye cheo kizuri"
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Vipi angekua amezaliwa kijijini Nyamboge huko Geita, halafu akasoma Shule ya msingi Nzera, sekondari akasomea Nyamboge secondary, akapata 3 yake kwa taabu akachaguliwa A level Geita Sec? Hayo ma CV ya sijui mabenki gani ya mbele angeyapata kweli?
  Twende mbele turudi nyuma, family well being ina influence kubwa hapo. Jamaa sio kichwa kiviile bali explosure nayo inahuu.
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesoma kwa makini nilichokiandika au umeamua tu kutoa chuki zako za moyoni??
  Haya na wewe tuambie CV zako tukusifie maana ndio unachokitaka
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, jamaa ilifanya poa sana wakati yupo Tigo na pia Airtel, naona hata huko vodacom analeta changamoto nzuri maana nayo imeanza kubamba watu wa kada ya chini.
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kuwa una exposure na bado ni kilaza
  Mange kimambi ana exposure ila bado ni kilaza

  Na unaweza kuwa una exposure ila ukipewa madaraka fulani holaaa
  Mfano lau marsha
   
 10. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  money goes to money.
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Huyo na mange wamekua pamoja toka enzi za shabaan robert wanajuana kwa viremba nashangaa kwa nini mange amekuwa kilaza wakati wa kishua mwenzake anasonga mbele,

  Kama university wote walipelekwa usa baada ya high school.... Na hata shule wamesoma za ukweli toka primary
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Hilo neno "Genius" umelitumia vibaya mkuu, niliposoma title nilidhani kuna mtanzania anayetengeneza mobile apps au platform za mobile equipments, kumbe unaelezea mtu anayefuata principles zilizoandikwa na watu.
   
 13. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  The guy is a fighter
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwanza unatakiwa ujue maana ya neno Genius A genius is someone embodying exceptional intellectual ability, creativity, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of unprecedented insight

  Genius inategemea na sekta uliyopo kwa yeye sekta aliyopo kama umesoma vizuri mambo ya Marketing utajua kuwa ni Genius kwa kuja na something new kwa Tanzania

  Wewe unasema anafuata principles zilizoandikwa na watu kwani hao wanaotengeneza hizo mobile app si wanafuata principle zilizoandikwa kuanzia java, Html e.t.c

  Mwanafunzi ambaye ni genius si anakuwa anafuata principle zilizowekwa ili ufaulu ukizidi kile kipimo ambacho majority wengi ambao ni top wamefikia wanaku consider as a Genius
  Au wewe genius unai define vipi mkuu??
   
 15. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Yes he is
   
 16. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu naomba wenyewe waje waseme hapa si wanasemaga wakiwezeshwa wanaweza sasa mbona mwenzao anawaangusha?
   
 17. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Dah kweli
   
 18. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mie namuona wa kawaida tu..labda ungesema hardworking ila genius hapana.
   
 19. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kwani mkuu sifa za genius wazijua ?
  Niambie ipi ambayo jamaa hana?
   
 20. Godemae

  Godemae Senior Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nikajua n another Nigga in Tz kagundua labda OS za sim au Tablet bana dah kumbe mambo ya kutuibia ela kwa sim zetu...!!!!
   
Loading...