je ni sawa kutembea au kuolewa na adopted bro/sis even tho not blood related?

melvinG

Member
Oct 11, 2012
41
6
Untitled.png

Mtoto wa Whitney houston Bobbi Kristina aliye na mahusiano na kaka yake wa hiari sasa amechumbiwa,uhusiano wao umezua gumzo na baadhi ya familia yake hawakubaliani na uhusiano huo,wanahisi kaka anataka kumtapeli urithi wake and not for love,je ni sawa kutembea na kakak huyo Nicki ambaye Whitney alimuadopt na kumtreat km mwanawe wa kumzaa? maoni pls:eyebrows:
 
Hilo ndilo tatizo la kukiuka maagizo ya mwenyezi mungu. Kimaandiko hapo hakuna tatizo labda tatizo kwa wale ambao waliamini kwamba NIck ni ndugu yao kwa kuwa aliasiliwa na Whitney!
 
Hapa bongo sheria ya adoption inakataza. Sijui huko kwao maana wazungu wana ustaarabu wa ajabu sana!
 
Hey. Be specific unaongelea agizo gani?
Kwa wakristo kwenye agano la kale kitabu cha Hesabu wameandika nani anafaa au hafai kuoa ua kuolewa. Sasa wazungu wao wamevunja vikwazo vyote wamewaachia wanadamu waamue ustaarabu wao!!
 
Kwa wakristo kwenye agano la kale kitabu cha Hesabu wameandika nani anafaa au hafai kuoa ua kuolewa. Sasa wazungu wao wamevunja vikwazo vyote wamewaachia wanadamu waamue ustaarabu wao!!
can you quote the actual verse please?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom