Wana jf Huyu madam Rita chief judge (bss) vipi?

Alwayz on top

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
706
264
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe najua baadae atakua shemej yenu msiwe na wivu...
 
Utaishia kumaliza sabuni tu...
 
we unamjua bwana machache wewe? una hela kama za kwake? au unaota mwenzetu?
yule alitolewa nchi za jirani na mh dkt bwana machache alipoenda huko baada ya kukosana na mke wake aliyetoka nje ya ndoa na daktari wa familia... baada ya kupata service nzur na kupunguza machungu akampromote mama yetu madamu..... kwa sasa bwana machache amesharudiana na mke wake saa sijui kama madamu ana mtu ila najua ana mtoto mwenye umri wa miaka kati ya 19-22
 
opposite ya machache nini vile
 
kama mle ana hucka bwana machache natangaza kujivua Gamba lkn kwa shingo upande moyo unaumaa kitu kinaonekana kizur na kitamu halafu kinakubali kua small house..aaaaaaah ndo mana kampa kipind cha masaa 2 kwenye t.v yake.
 
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe najua baadae atakua shemej yenu msiwe na wivu...

Mmhhh mtu mzima wewe yule utampeleka wapi anakimbilia miaka 60 hela tu zinam'galisha kizazi kimeshafunga
 
Mkuu mbona una maneno makali hivyo kwa salama..? Ulipitia kwenye bss mchujo ukakutana nae nini..? Akakuwasha..?

Mkuu nitake radhi hiyo bss nina mwaka wa tatu sijaangalia
Zaidi ya kusimuliwa na vijana wangu tu kinachoendelea
 
Back
Top Bottom