Aunty Lulu alia kugeuzwa daraja na midume

Status
Not open for further replies.

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,109
STAA wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu' ametoa la moyoni kuwa, anaumizwa na kitendo cha baadhi ya wanaume kumtumia kimwili kisha kumtosa.
Akizungumza kwa masikitiko hivi karibuni, Aunty Lulu alisema yeye ni mwanamke anayehitaji mpenzi mwenye nia ya kumuoa lakini anashangaa kila anayekuwa naye anamtumia kama daraja kisha akifanikisha mambo yake anampotezea.
"Wananifanya mimi ni daraja. Wanapita kwangu ili kufikia malengo yao, wakiona wamefanikiwa wanaanza chokochoko ili tuachane, inaniuma sana," alisema Aunty Lulu.

Chek comments za wanajamii huko nilikoupata huu udaku,ongeza na zako pia!Jamani msimlambe sana sasa, amechoka anataka mume!

1 Comment by Nairrat Mlawa 22 hours ago
LULU MATHIAS SEMAGONGO hivi kwa akili yako atakuoa nani wewe kahaba? mwanamke stara bwana kutwa makalio yako yanaonekana na kila mtu unafikiri atakuoa nani shost utavunda ,utamegwa na kuacha kama kawa kama dawa!

2 Comment by Hemed Hussein yesterday
kwa ufupi mashine yako ni mbovu.ina maji sana.fanya mpango utafute water pump uyavute hayo maji halafu ukae kama mwaka hivi bila kupigwa miti.atakaekuonja tu siku hiyohiyo atatoa mahari na kukuchukua jumla.angalia usitoe tigo maana ukitoa maji ndio yazidi

3 Comment by Blessings O yesterday
Yaani mapozi yenyewe yanaashiria we ni kunguru, unafikiri nani atakufuga? Mwangalie kwanza mbinuko si ajabu mijanamme ndo inadandiaga hukohuko nyuma. Mmmxxxxxxxxxxxxxxyyyyy4

4 Comment by David Wagwene on Saturday
mtu anapokuona gazetini anajua boooonge la dem anakufuata akikugusia hayo mambo tu bhaaaas kakumaliza neno hapana mdomo wako haulijui hadi ukijaribu kulisema unajing'ata.Akishapata alichokitaka jidume hilo mbio mbio hadi nyuma haligeuki kwa staili hiyo atakuoa nani dadaangu...

5 Comment by richardngeze on Saturday
Na huo mbinuko watakua wanaupanda kweli kweli.

6 Comment by TZ on Saturday
kama ulivyo kwenye picha umekaa kama NGAMIA unangoja watu WAKUPANDIE na ndivyo ulivyo

7 Comment by Papaa on Saturday
Acha kujirahisisha, unafikiri ukimpa mwanaume mwili wako ndio atakupenda na kukuoa? Wee sema una kiu na mapenzi tuu na sio kingine, ona mavazi yako kama changudoa, kila mwanaume atasema uu changu, wee waache wafanye daraja hakuna zaidi!!

8 Comment by ernest simon on Saturday
Hivi haya majina ya Lulu ya nanini? maana naona km yana ***** kila anayeitwa hivyo ni malaya sijui wanawashwa huko chini

9 Comment by abdullah Nassor on Friday
malaya ndio jina lako unataka wakae na wewe hovyo

10 Comment by JERRY on Friday
USHA KUA PAKA NANI ATA FUGA KIMBURU TOOO LEEIT POLEEEEEEEEEEEEEE NYAUUUUUUU

11
12
.
.
.
 
Mbona husemi
wana nila tigo mara wakisha fanikisha marengo wananiacha nani wakukuoa wakati kuliwa tigo ndo biashara inayo kuweka mujini
 
Aunty Lulu.jpg

Daah...wanaume tunakuwaga wabaya sometimes. Nimejaribu kutafiti (not formal research) nikaona wanawake waliojaaliwa 'makalio' mara nyingi huwa wanatendwa, yaani wanaume huwa wanawatumia for sex kisha wanasepa. Na ukiangalia kisaikolojia...wanaume wengi wanapomuangalia mwanamke aliyejaaliwa makalio, moja-kwa-moja wazo ni kumvua nguo tu na kumfaidi, hakuna ile feeling ya 'love' kama vile wanaume wengi wakimuona msichana mrembo mwembamba!

Huyu ni victim wa hiyo 'psychological phenomenal'...lakini dada wa watu anaweza kuwa na nia nzuri tu ya kuwa na mwenzi mmoja wakapendana akatulia.
 
View attachment 66862

dah,mpk nimeona huruma
 
Huyu anajitakia,let her drink from that cup, if at all it is that way
 
ishu hapa cyo wanaume kumtumia na kumwacha, but ishu ni yeye kuwaruhusu wamtumie then wakitosheka wasepe.kwani huwa wanambaka ?? au ni makubaliano?? akisema no, nahitaji mwanaume serious nitakaye jenga naye future then akasimamia decision yake watamlazimisha?? au huwa wanamfunga kamba?? asiwasingizie wanaume, ajilaumu yeye mwenyewe kuwa maharage ya mbeya.hiyo yote inaletwa na tamaa , kutojiamini,kutojipenda, kutojithamini n.k usitegemee mtu akupende au aione thamani yako kama mwenyewe hujipendi wala hujithamini
 
kaajaliwa si haba,sifa hiyo nampa.hayo mengine sijui

kisuga,huwa nakufurahia sana jamani!kweli kajaaliwa na inasemekana ndio kiwezesha chake kimwekacho mjini,uchumi wake haukalii,lol!!ok,hayo mengine ndo uyaone sasa,wadau full info
 
ishu hapa cyo wanaume kumtumia na kumwacha, but ishu ni yeye kuwaruhusu wamtumie then wakitosheka wasepe.kwani huwa wanambaka ?? au ni makubaliano?? akisema no, nahitaji mwanaume serious nitakaye jenga naye future then akasimamia decision yake watamlazimisha?? au huwa wanamfunga kamba?? asiwasingizie wanaume, ajilaumu yeye mwenyewe kuwa maharage ya mbeya.hiyo yote inaletwa na tamaa , kutojiamini,kutojipenda, kutojithamini n.k usitegemee mtu akupende au aione thamani yako kama mwenyewe hujipendi wala hujithamini

kweli kabisa
 
View attachment 66862

Daah...wanaume tunakuwaga wabaya sometimes. Nimejaribu kutafiti (not
formal research) nikaona wanawake waliojaaliwa 'makalio' mara nyingi
huwa wanatendwa, yaani wanaume huwa wanawatumia for sex kisha wanasepa.
Na ukiangalia kisaikolojia...wanaume wengi wanapomuangalia mwanamke
aliyejaaliwa makalio, moja-kwa-moja wazo ni kumvua nguo tu na kumfaidi,
hakuna ile feeling ya 'love' kama vile wanaume wengi wakimuona msichana
mrembo mwembamba!

Huyu ni victim wa hiyo 'psychological phenomenal'...lakini dada wa watu
anaweza kuwa na nia nzuri tu ya kuwa na mwenzi mmoja wakapendana
akatulia.

Picha yenyewe alopiga tayari ameshatanga tigo imo! sasa we hapo unategemea nini! yani ugawe tigo weeeeee! halafu utegemee ndoa! Ebo! Mtazaaje! mxxxxxxxxxxxxxi@*u***?@xu!
 
Picha yenyewe alopiga tayari ameshatanga tigo imo! sasa we hapo unategemea nini! yani ugawe tigo weeeeee! halafu utegemee ndoa! Ebo! Mtazaaje! mxxxxxxxxxxxxxi@*u***?@xu!

Wee nani kakuambia wanaogawa 'tigo' hawazai? Umeshaona sehemu walipotaja sababu za ugumba ipo 'kuliwa tigo'? Na nani kakuambia wa kuwa wanandoa hawalani tigo?! mxxxxxxxxxxxi@*u***?@xu! mwenyewe...na wa kwenu wote!
 
.... mwanamke asiye kuwa na misimamo, asiye jiheshimu..... ni DARAJA siku zote. ashauriwe juu ya kujiheshimu, kuheshimu wengine na kuwa na misimamo fulani kwa mfano, kuto ku do mpaka ndoa ama ku do kwa nadra (isiwe chakula)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom