Clouds Tv kurusha LIVE wasanii wa kibongo halafu Rick Ross wanakata

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Clouds haiwathamini wasanii wa bongo,wamerusha hewani show ya wasanii wa bongo halafu hawakuonyesha ya Rick Ross,wangeonyesha show zote au wasionyeshe zote.
 
wabongo bana, gari ninunue mimi kuendesha unipangie wewe.
Wanajua ni sababu gani hawajarusha show yake ni kwamba wanataka ambao hawakwenda iwaume ili siku nyingine waende waongeze mapato. Wasanii wa kwetu hawa si tunao kila siku
 
Wangeonyesha ya Rick Ross afu za wabongo wangechunia kelele zingezidi hapa
 
wabongo bana, gari ninunue mimi kuendesha unipangie wewe.
Wanajua ni sababu gani hawajarusha show yake ni kwamba wanataka ambao hawakwenda iwaume ili siku nyingine waende waongeze mapato. Wasanii wa kwetu hawa si tunao kila siku

ila kama ndo hivo wanaonyesha wasanii wetu hawana thamani na wako cheap sana
 
wangeonyesha show zote au wasingeongeza kabisa

hivi ndo mara ya kwanza kuona double standard bongo. Yaani mnataka rick ross aende sawa na ney wa mitego au, I MUST BE KIDDING
 
hivi ndo mara ya kwanza kuona double standard bongo. Yaani mnataka rick ross aende sawa na ney wa mitego au, I MUST BE KIDDING

thamani ya msanii wa bongo itapandaje?hivi unajua nigeria Eedris aliyeimba Nigeria jaga jaga aliwahi kuharibu
show ya 50 Cent kisa wasanii wa ndani hawathaminiwi
 
Wabongo kwa lawama...! sasa ulitaka na ya ross irushwe live nani angeenda basi pale leaders?
 
Wasanii wa kibongo nao njaa sana,wanajiona wapo juu na hawajui thamani yao
 
Mi swala la kuwaonesha wabongo au kuto waonesha kwangu halina shida kabisa, ila natamani kujua wasanii wetu wana nufaika vip na hili tamasha? Kujua wanaingiza kiasi gani?

Na hii inge saidia kuondokana na unyonyaji.
 
wabongo bana, gari ninunue mimi kuendesha unipangie wewe.
Wanajua ni sababu gani hawajarusha show yake ni kwamba wanataka ambao hawakwenda iwaume ili siku nyingine waende waongeze mapato. Wasanii wa kwetu hawa si tunao kila siku
Aisee hivi wewe una akili timamu kweli? yaani mtu imuume kutohudhuria show ya Rick Ross wakati CD zipo? ni kwa nini mtu alipie kwenda kusikiliza Cd wakati hata nyumbani unaweza kusikiliza?

Zipo show ambazo ukikosa ni kweli utaumia mfano show za kiwango cha Michael Jackson, Wenge Musica BCBG, Koffi Olomide, Fally Ipupa and likes. na siyo show za kwenda kusikiliza Cd, mtu makini anataka Live band.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom