Hivi ukiwa Star au Celebrity ni lazima ukae uchi uchi mbele za watu?

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Mimi napata taabu sana kulielewa hili kwa maStar wa bongo, especially wanawake.... Hivi hamuoni kuwa mnajidhalilisha kwa kuonyesha nyeti zenu mbele ya kadamnasi, au msipofanya hivyo mtapunguza uStar wenu? Mimi naona huu ni ulimbukeni wa kuiga tamaduni za watu wengine! Unajisikiaje picha zako zinapotoka gazetini ndugu zako wanaziona (baba, mama, mjomba, kaka n.k.)???!!

View attachment 66844

296354_349491921802791_1668731205_n[1].jpg
 
Wala sio kuiga tamaduni za watu mbona beyonce au rihanna na wengine wengi wenye majina huko mbele hawajidhalilishi hvyo.. Hao wanatafuta soko kwa nguvu.. Washakua wengi so kila mtu ana style yake ya kuvuta wateja
 
Wamemsahau muumba
Watavuna wapandacho

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni kutafuta cheap publicities ambayo kwa mda mfupi watu watazungumzia lakini baadae itawaharibia ile status yao........pia kuna wazo ambayo iko katika sales and marketing inasema hivi " uchi au utupu ina uza" kwa kingereza ni " sex or nakedness sales"...hivyo basi to sale....inabidi wajiweke ile hali!
 
Paka kumfanya kuwa kimburu ni dakika moja tu,
Lakini kimburu kuwa paka hili haliwezekani kabisa!

Hao ni mavimburu tu.
 
Wasipokaa uchi watapataje umaarufu? Wataandikwaje kwenye magazeti ya shigongo?
 
Wala sio kuiga tamaduni za watu mbona beyonce au rihanna na wengine wengi wenye majina huko mbele hawajidhalilishi hvyo.. Hao wanatafuta soko kwa nguvu.. Washakua wengi so kila mtu ana style yake ya kuvuta wateja

hao wote wale wale ,hao kinabeyonc wnyw wanaanikaga nyuchi zao tena sana tu.
 
Inategemea huo uchi wanamkalia nani, Nyota ikiwadoondokea wanaenda DUBAI kama mnavyoenda posta- kariakoo
 
Back
Top Bottom