esther wasira aachia single yake aliyo shirikiana na man sulii.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

esther wasira aachia single yake aliyo shirikiana na man sulii..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by figganigga, Oct 23, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  mwana dada kakamua si mchezo. mi nlijua yupo kwenye siasa tu kumbe hata kwenye mziki anabamba kinyama. kaza buti dada. mia
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mie sijui kwa nini uyu dada bado ajanishawishi haswa kwenye siasa.
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa ni namna ya NITOKE VIPI
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa ni namna ya NITOKE. vipi
   
 5. +255

  +255 JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Huu hajau copy ka ule wa kwanza wa Sheila?
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hajacopy aisee!!. kakamua. mia
   
 7. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Huyu dada ana sauti nzuri aisee. Alishawahi kuniimbia free style siku fulani hivi sitasahau
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  dogo mkali aisee!. mia
   
 9. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Tuwekee tuusikilize
   
 10. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  namshauri akitengeneza video, amtafute sokwe mnyama aonekane akiwa anaiba mahindi shambani. Itakuwa dongo kubwa kwa dingi yake mdogo.
   
 11. D

  Daema Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  daah mpaka hapo ni nimemdisgrade mwambien kama anafanya siasa afanye lkn huko anapotea kama mzik bas achague mziki sasa specific carrier yake ni ipi mziki au siasa
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kazi ipo!
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu dada hamnazo mimi nilishamshtukia ni mganga njaa tu nimemshusha mpaka basi
   
 14. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Esther hajaanza leo kufanya music. Aliwahi kushinda pop idols kitambo. Nmesoma nae o"levels yuko vizuri sana. Alishawahi kutoa nyimbo inaitwa 'Sheila' ilikuwa 2002 au 2003 one hell of a rnb single.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 15. J

  John W. Mlacha Verified User

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  kumbe ndio yeyealiyimba sheila?????
   
 16. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kama kawaida ya cdm, inachukua vimeo halafu inawatukuuza kuwaona wa maana.
  Watu walimkaribisha jf kwa mbwembwe mara kamanda, mara .....
  Kumbe hana jipya.
   
 17. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kama kawaida ya cdm, inachukua vimeo halafu inawatukuuza kuwaona wa maana.
  Watu walimkaribisha jf kwa mbwembwe mara kamanda, mara .....
  Kumbe hana jipya.
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  kumba mziki ni kosa? mbona nyie komba anaimba hadi kwenye vikao vtenu hamumshushi. wewe unamuonea wivu kwa kuwa anafit kila sehemu. mia
   
 19. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,309
  Likes Received: 3,802
  Trophy Points: 280
  Kama hujui alianza muziki zaman alikua TZ pop idol no 2 mshindi alikua Banana Zorro miaka ya 1998 au 1999 kama sikosei so ulitakiwa ufahamu siasa kwake ni career ya pil baada ya muziki
   
 20. Sunuka

  Sunuka Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Wabongo kwa wivu mnapenda kuwaponda watu hata asie na vigezo mpeni sifa yake mtoto wa mwenzenu anaweza sana tu
   
Loading...