Anti Ezekiel afanya sherehe ya Ngoma Kibao Kata, Amwaga mauno ya Haja, Send Off yaja.....

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500

Bibie Abti Ezekiel akiwa na wapambe wake na nguo maalum za kukatia mauno kwenye Ngoma ya Kibao kata

Mauno yakizungushwa kabla ya kuchanganya

Mauno yalipomkolea akalala chini na kuzungusha nyonga kisawasawa, Wema Sepetu akimtunza Anti Ezekiel.

Wema Sepetu hakucheza mbali.

Hii ni siku ya Kibao Kata, baada ya hapo ni Kitchen Party then Send Off halafu Bonge la Party Dubai. Ndoa imeshakamilika haya ni makandokando tu amaeamua kufanya kinyumenyume.
 
Cjawai ona Inafungwa Ndoa,and then sendoff inafuatiwa na Kitchen party!
Uelewa,ulimbukeni na Mashauzi ya kijima waliyonayo wengi walioingia Jiji la makamba Wakiwa WATU WAZIMA ni matatizo tu!Amepiga picha za Harusi Mwowaji aonekani!yaani ni mauzauza tu ana jipya,angeweza hesabu wanaume aliolala nao,angejaza Fuso ata tatu!,fainal uzeeni
 
Mkuu, huyu ni mtoto wa Ezekiel Greyson "Jujumen" aliyewahi kukipiga Simba enzi zileeee, amezaliwa hapahapa mjini

LAKINI

Alipokuwa Makongo Sec usiku alikuwa anakwenda Ohio kufanya Biashara, hope wajua biashara gani ilikuwa inafanyika pale, akaacha shule na akahama hadi home kwao. Ilipokuja hii chama ya Digital prostitution akajiunga na ndio anaendelea hadi sasa.

Ndio maisha haya so haoni tabu kujawa na vioja. wanaojua historia yake huyu wala hawawezi kushangazwa.
 
aunt mtoto wa kuja..katoka kijiji cha musoma.
 
Please wanaomtakia mema huyu Binti wawahi sasa kumshauri na kumsaidia kupata dawa ya huu ugonjwa wake wa akili. Maana hali yake naona inazidi kuwa mbaya siku hadi siku.

Hatutaki ifike baadaye ndio tuseme ''tungejua tungemsaidia''
 
Juz kati mliweka uzi kuwa kaolewa.....,leo mwasema anafanya send off,.....Vipiiiiiiii?
 
Hongera sana AUNT EZEKIEL!!!!!!!!!

NANI KANUNA!!!!!!!!!!!!!!!!

Pedesheee Jackie Pemba

Hartman Mbilinyi

Mwilu Mwilolaaa (Silver)

Na wote waliosema haolewiiii!!!!!!!!!! NDO KESHAOLEWA TENAAA! (Japo ndoa ya 2)
 
Juz kati mliweka uzi kuwa kaolewa.....,leo mwasema anafanya send off,.....Vipiiiiiiii?

Anti Ezekiel kaamua kwenda kinyume nyume. Kaanza na ndoa, imefuata KP, then Send fool or sorry, send off, mwisho Reception.
sio lazima kufuata formula ile ile kila siku (kwa mujibu wa Anti)
 
Acheni uzushi wabongo, kweni mkimuombea maisha mema kitapungua nini. Kila mtu anadown side yake.....so ubarikiwe kwneye unyumba na utulie.
 
Hongera auntie.. .i wish u al the best swit.
We ni mtu mzima.
 
Back
Top Bottom