Si upumzike baba

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
IMG_6143.jpg


hata kusimama inaanza kuwa shida si upumzike na unataka uraisi 2015 tena jamani?
 
Sure, hata mie nimemuona hata kutembea inaonekana anapata shida. Anakuwa kama anaenda upande upande hivi. Kweli apumzike.
 
Haka kazee kanapenda ukubwa sana. Mimi nimesafiri nako mara kadhaa. Kakishuka kwenye ndege utakaonea huruma wakati wa kutembea kwenda boarding room. Inakuwa kama kametoka jando dakika chache zilizopita.
 
Kweli aise wapumzike, yeye na mwenzake daktari Wiliburodi...
 
Back
Top Bottom