Baada ya kulizwa tsh milioni 6, ‘tonya boy’ asema “mademu wa bongo movie wanapenda sana pesa, wanale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kulizwa tsh milioni 6, ‘tonya boy’ asema “mademu wa bongo movie wanapenda sana pesa, wanale

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Money Stunna, Oct 18, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  WAKATI ikidaiwa kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Matonya, alifungiwa ndani kimapenzi na mmoja ya wasanii wa bongo movie na kulizwa shilingi za kitanzania milioni 6, sasa ameamua kuweka wazi kuwa wanawake wa tasnia hiyo ni michosho kwani wanapemnda hela na wanaleta maigizo hadi kwenye mapenzi. DarTalk ilimtafuta Tonya Boy na kuzungumza naye juu ya ishu hiyo kuwa kulikoni hadi alilizwa kiasi hicho cha pesa, ndipo alipodai kuwa kuna mmoja wa mademu wazuri wanaovuma kwenye tasnia bongo movie ndiye aliyefanya mchezo huo mchafu kwani alijifanya anampenda sana kumbe alikuwa anamuigizia na alikuwa na ishu yake. Alidai kuwa baada ya tukio hilo kutokeo demu huyo hakumuona tena na alikuja kusikia yupo mkoani kitu ambacho kilimfanya aishiwe nguvu kwani hakuamini kilichotokea na hapo ndipo alipoamini kuwa mademu wa tasnia hiyo ni wapigaji na ukiwaonesha kwako utajuta. “Bongo movie hakuna demu yani hata bure siwataki tena yani wanaleta maigizo hadi kwenye mapenzi dah kweli hii tasnia ina laana na inahitaji kuombewa kwani wasanii wake wanatamaa ya hela na wanamapepo ya ngono yani wakimuona mwanaume ana hela basi mate yanawatoka, hata wa bure siwataki tena,” alidai.
   
 2. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mfa maji.....!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaaaaaa imekula kwako tonya boy
   
 4. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Too late
   
 5. B

  Bodi New Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chezea kahaba wewe
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  harafu nashangaa,matonya si alioa ana mke au ilikuaje
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wajinga ndio waliwao......
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  wanatafuta salary.
   
 9. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Waliachana, na mke walikuwa wamezaa mtoto mmoja
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  heeeeeeeeeeeeeeeeh kaaaooogeeeeeeeeeeeeee
   
 11. K

  Kibera New Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amewaimbia Dulaayooo,chezea watoto wa mjini wewe,,utaumia mwenyewe,,
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  ajifunze sasa asishoboke kwa mabint wa bongo movie,atafute mke mwingine atulie,kupenda mabint maharufu kutamuumiza sana uyu kijana
   
 13. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Bongo movie.... Makahaba tupu...
   
 14. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hiyo mkuu inaitwa ukiona manyoya.....
   
 15. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kumbe Nelly wa mitego yuko sahihi!
   
 16. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hii nchi tuna matatizo wote kwenye hii mibichwa yetu...kuna tope sijui!? Maana mara zote 'mwizi' ndio husifiwa na kuonekana 'mjanja' na 'mtoto wa mjini'...na aliyeibiwa anaonekana kajitakia, ni 'f@l@', na mshamba! Haya ndio yanaonekana hata tunapoibiwa rasilimali zetu za umma...wezi ndio wanaonekana wajanja, na husipoiba...we f@l@! God help this generation...
   
 17. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  chezeya mademu wa bongo movie
   
 18. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe 2nda man hakudanganya kwenye wimbo wake eee!.
   
 19. a

  alfred charles New Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na badooooooo
   
 20. p

  pretty n JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haishi kutapatapa mwaya
   
Loading...