True Story: Kutoka Kuuza Kahawa mpaka kumiliki Vogue na Hummer

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Hashim Thabit:
Enzi hizo tukiwa naye dodoma 90's yeye na mama yake walikuwa wakijikimu kimaisha kwa kuuza kahawa na kashata,hashim ndio aliyekuwa muuzaji,kweli maisha yana badirika,kwahyo vijana msikate tamaa,pambaneni.
Hasheem-Thabeet-at-Grizzlies.jpg


Inasemekana ndio mwanamichezo/msanii wa kwanza kwa utajiri hapa tanzania
 
hiyo swala la kuwa tajiri kuliko wasanii/wanamichezo wote ni obvious wala sio la kuongelea,kitendo cha kugusa tu NBA inatosha kufanya awe hivyo.Kutoka sumtimes na zali,wapo wanaohustle zaid yake but wanaishia kuwa maskin
 
Sasa hivi atachoma na kuuza mahindi pale Thunders kama hasipokaza buti. Maana namba pale ni ngumu sana.

Lakini nimeona kwenye pre-season games amecheza vizuri. Pengine hatachoma na kuuza mahindi, ataishia kuchekelea huku akielekea benki.
 
Hashim Thabit:
Enzi hizo tukiwa naye dodoma 90's yeye na mama yake walikuwa wakijikimu kimaisha kwa kuuza kahawa na kashata,hashim ndio aliyekuwa muuzaji,kweli maisha yana badirika,kwahyo vijana msikate tamaa,pambaneni.
Hasheem-Thabeet-at-Grizzlies.jpg


Inasemekana ndio mwanamichezo/msanii wa kwanza kwa utajiri hapa tanzania


I have admired his taste of cars: Hammer and Vogue!
 
Hasheem kuwa abdonormal kumembeba sana maana ni tofauti na waafrica wengine waliocheza NBA kama emekar okafor nigeria, loul deng sudan, serge ibaka congo,hakeem olajuwon, cristian eyenga congo, luc mbah, ime udoka, ddier, ilunga, michaek olowokandi, desagana diop, kelena azubuike, pepe sow, na wengineo kibao.. Ukifatilia historia zao walikuwa wazuri sana kwenye basketball toka wapo africa kiasi cha kupata scholarship direct from africa kwa kuwa na viwango vikali na hata wasiopata scholarships wametisha sana kwenye league za nchi zao mpaka NBA scouts wakawaona na kuwapa shavu..

But hasheem ye kapata zali la mentali baada ya kuonwa alivyo mrefu na kwa sasa Hasheem ndo Tallest player in the NBA wakati hawa niliowataja ni wa kawaida tu but kiwango chao ndo kimewafikisha NBA

Also swala la kuwa rich msiliongelee as NBA ballers got money.. Kiasi hata hasheem akitulia na akaamua kuinunua Mliman city yote ile na Mlimani villas anaweza akafanya... Wenzake hapo juu wanamiliki investment za kufa mtu nchini mwao... Kwenye basketball without boarders ya espn walionesha nyumban kwa mouhamed sene senegal ni balaa jamaa ana maghorofa dakar kama ppf towers ya kutosha
 
Back
Top Bottom