Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
msanii wamuziki wa kizazi kipya hamis mwinjuma aka mwana fa amesema kuwa mapato ya show yake ya ter14 june 15% itaenda kwa familia ya marehemu ngwear Je,huko sio kutumia jina la ngwear ili kupata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu tangu niusikie wimbo wa YAHAYA wa mwanadada Lady Jay Dee nikaona kama ndo mwendelezo wa lile bifu lake na clouds FM husuani walengwa wakiwa Kusaga na Ruge...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Sina uhakika, inawezekana uzi kama huu umewahi kuletwa jamvini, lakini nimependa nijuzwe kuhusu huyu Mtangazaji. Namkumbuka kipindi hicho akiwa na Masud Kipanya wakiwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; "its official : catch me live on stage ijumaa hii kwenye show ya miaka 13 ya lady jay dee kwenye game...be there or be no where...ni noma!!!"
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Nasikiliza Radio DIAMOND,anaongea kuhusu kushindwa kuwekwa katika Categories zingine amabazo yeye alidhani anastahili kuwekwa,Mfano VIDEO BORA YA MWAKA. so anadhani kama hakuwekwa huko bora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wema isaac sepetu ambaye alikuwa pia ni former miss tanzania in 2006 alishawishiwa kuingia bongo movie na the late kanumba na kubahatika kufanya baadhi ya movie ambazo zimemtambulisha vyema kwenye...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Ile show ya Jide ambayo itatawaliwa na anaconda style sasa kimeeleweka baada ya prof J na Juma Nature kuthibitisha kwamba watamuunga mkono na kupiga nyimbo zao zote ambazo mashabiki wataomba...
2 Reactions
79 Replies
7K Views
  • Closed
Presha ya show kubwa za magwiji wa muziki hapa nchini MWANA FA "The Finest" na lady jay dee" miaka 13 ya jide" imezidi kupanda baada ya show hizo kutawaliwa na wanasiasa, Zitto alisema yeye...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Naongelea mazoezi ya viungo. Nilivyokuona kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, na baadae Tusker ya tatu na Tusker all Stars (ulikua umeanza kunenepa) na jinsi nilivyokuona juzi kupitia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Mpekuzi blog waendesha kipimajoto kati ya Mwana Fa na Jay Dee show ipi utaudhuria. Lady jay dee kashinda kwa asilimia 80+ huku mpinzan wake akiburuza mkia
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu rahisi naona mgogoro huu ukimnyayua zaidi Jide kutoka utukufu hadi utukufu huku ukimuacha Ruge akijengea maadui.wengi zaidi, na wafuasi wake wakionekana ni wasaliti na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Huu wimbo wa mpoto CHOCHEA KUNI mashairi yake yana ujumbe gani? "...chochea kuni .... muwaite mamluki...wakija wasubiri" "..mtu anatapika nyongo yake anarudia tena kuila mnamwangalia?"...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Inasikitisha kwa kweli
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati kikundi cha orijino komedy kikila shavu la udhamini,...naomba kuuliza alipo msanii mwenzao vengu( mzee wa kiraracha)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nani mkali kati ya hawa jamaa mana wote nawakubali haswa zembwela na maneno yake
1 Reactions
9 Replies
3K Views
BAADA wadau na mashabiki mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya kushambulia msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Mwana F.A katika mitandao ya Tweeter na Facebook kuhusu bifu lake na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Bongo Flava haijalishi Hip Hop ama kuimba. Wote kwangu ni wasanii na siwabagui. Ni ukweli usio fichika kuwa kwa sasa huko tz nchini mwangu msanii Diamond...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
  • Closed
Alikuwa akiongea juu ya vita kati ya Ruge na Lady Jay Dee na kushangaa kwanini serikali haifanyi kitu juu ya JF, ambayo inaruhusu watu kutuma posts zinazomchafua boss wake na kituo chake.
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…