zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

    Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao. Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board...
  2. Shark

    Zoezi la TANESCO la kubadili Mita limejaa Usumbufu, Utapeli na Ubabaifu

    Kwema Wakuu, Mimi ni mkaazi wa Kitongoji Kimoja wilaya ya Kinondoni hapa Dar es Salaam. Jumatatu nilipigiwa simu na watu wa TANESCO kunifahamisha kua Kwa kua number ya mita yangu inaanzia na 24... basi nitabadilishiwa mita hiyo kesho yake yaani juzi. Juzi Jumanne kweli walikuja asubuhi...
  3. Replica

    Wamasai waliohama Ngorongoro walalamika zoezi hilo kuzungukwa na udanganyifu, wasema watarudi

    Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera. Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
  4. J

    Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

    "Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo." "Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
  5. fogoh2

    Simbachawene aelekeza kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kusimamia Watumishi kutekeleza zoezi la PEPMIS

    #HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Juma Mkomi kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kuwasimamia watumishi wao kujisajili na kujaza mipango kazi yao katika Mfumo...
  6. JF Toons

    Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

    Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
  7. Kindeena

    Mbona CHADEMA mnalalamikia zoezi la usafi wakati RC Chalamila hajalaumu maandamano yenu?

    CHADEMA kupitia Mwenyekiti Mbowe wametangaza kufanyika maandamano Dar es Salaam, January 24, 2024. Lakini pia RC wa Dar es Salaam Bwana Chalamila Albert ametangaza Majeshi ya Ulinzi na Usalama kufanya usafi mkoani kwake tarehe 23-24 January 2024. CHADEMA kila kona mitandaoni wanamlaumu RC...
  8. Stephano Mgendanyi

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
  9. JanguKamaJangu

    Katavi: DC Jamila asitisha zoezi la uwekezaji mpaka taratibu ziwekwe wazi

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo la kuhifadhi chanzo cha maji ya mto huo. Bosco Chamtepa, Mwajuma Bashiri na Abel Mazuke wamesema...
  10. BigTall

    Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
  11. Roving Journalist

    DC wa Rungwe azindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho vya NIDA, asema vitambulisho 69,638 vitatolewa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho Taifa (NIDA), leo Desemba 5, 2023 ambapo uzinduzi umefanyika katika Kata ya Kyimo, Tarafa ya Ukukwe. DC Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69,638 vitatolewa kwa Wakazi wa Wilaya ya Rungwe huku Kata ya Kyimo...
  12. Bull Bucka

    Zoezi la kutoa wamachinga Mashine Tatu Iringa ni la "kimabavu"

    Mgambo wa Manispaa Iringa wakiendelea kuwatoa wafanyabiashara wadogo wadogo katika eneo la Barabara ya Mashine Tatu ili kuweka mji katika hali ya usafi na kuhamasisha wajisiriamali hao kwenda katika maeneo waliyopangia. Zoezi hilo limekuwa likilalamikiwa na watu wengi kuendeshwa kwa mabavu na...
  13. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
  14. Roving Journalist

    Mamlaka ya Misitu (TFS) yatoa ufafanuzi kuhusu zoezi la kuwahamisha Waliovamia Msitu wa Mgori

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kulalamikia mchakato wa kuwaondoa Wananchi walio ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Mgori mamlaka zimejibu na kutoa ufafanuzi, soma hapa hoja ya Mdau - Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba...
  15. sky soldier

    Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

    Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.
  16. Stephano Mgendanyi

    Kagera: Mbunge Ndaisaba Ashiriki Zoezi la Ugawaji wa Miche Takriban Milioni Moja ya Kahawa

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa. Miche hii ni matokeo mazuri ya Jitihada za Mhe. Mbunge katika kulikuza zao la Kahawa ili kuongeza mapato kwa Mkulima mmoja...
  17. Pfizer

    DC Waryuba amezindua zoezi la uwekaji wa vigingi vya mpaka wa Pori la Akiba Kilombero

    MHE. WARYUBA AZINDUA ZOEZI LA UWEKAJI VIGINGI VYA MPAKA WA PORI LA AKIBA KILOMBERO Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe.Sebastian Waryuba amezindua zoezi la uwekaji wa vigingi vya mpaka wa Pori la Akiba Kilombero katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2023, Kilosa Mpepo, Mkoani Morogoro. Akizungumza...
  18. peno hasegawa

    Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  19. SAYVILLE

    Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

    Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja. Kwa...
  20. R

    Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
Back
Top Bottom