Metro – End of the line for failing train firms
Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam – Morogoro.
Hayo yamesemwa leo Jumatano, Aprili 3, 2024 na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA...
Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania
Zaidi soma hapa:
"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa.
Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu.
Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi...
Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
Watamzani tunapotezwa kirahisi Sana. Tumeletewa Prophet kutoka sijui wapi huko na tumeanza kuaminishana ni mtamzania! Alikua mwanamuziki ila kakutana na Yesu (Yesu ni uongo), kajaza uanja na watu wametolewa mapepo!?!?! Kuna kipi kipya!?! Watanzania ni wajinga sana.
Tumesahau kuhusu Vice...
TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)
TAREHE 25/11/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC).
Baraza hilo limetoa...
Habari!
Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo.
Profesa Kahyrara ameyasema...
Reli ya Usambara, Moshi-Tanga ndiyo reli ya kwanza kujengwa ndani ya Tanganyika. Ilijengwa miaka ya 1890's. Reli hiyo ilianza kujengwa na kampuni binafsi na baadaye ikachukuliwa na serikali ambayo iliimalizia hadi Arusha. Lengo kuu lilikuwa kuunganisha bandari ya Tanga na eneo la kaskazini...
Reli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP
KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI
TAREHE 23/10/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.