Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
"Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo."

"Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi letu kulisoma kwenye kiganja"

"MAELEKEZO ya UWT kwa Makatibu wote wa Wilaya ni kuhamasisha na kusajili wanawake wanachama wa UWT kwenye mfumo wa kidijitali."

"Hii itasaidia katika kuwezeshana kiuchumi kwakuwa itasaidia kujua idadi ya akina mama tulio nao na hali zao na jinsi gani ya kuwasaidia mmoja mmoja au makundi."

"Tunakwenda kidijitali na ndii ukuaji wa teknolojia, hivyo hakuna kulala lazima wanawake wote tujisajili tukiwa katika chama imara cha CCM"

Ndugu. Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu wa UWT - Taifa

📍Lumumba - DSM
🗓️ 7 Machi, 2024

IMG-20240307-WA1366.jpg
 
Back
Top Bottom