matokeo ya sensa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Lusinde, hoja yako nzuri ya kuzingatia matokeo ya sensa isiwe kwa miradi tu, bali hadi kugawa majimbo

    Akichangia katika bunge la JMT Mbunge wa Mtera Lusinde ameitaka serikali izingatie matokeo ya sensa katika ugawanywaji wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na barabara, anasema huduma hizo lazima ziwe na uwiano na idadi ya watu katika eneo husika. Ameshangaa kuna maeneo yenye watu wengi...
  2. Stephano Mgendanyi

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
  3. D

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kutumia takwimu za matokeo ya sensa kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
  4. Roving Journalist

    Anna Makinda afungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
  5. sifi leo

    Rais Samia, Mimi Sifi Leo sina nauli ya kuja Dodoma siku ya Sensa ila namba yangu inapokea muamala, tuma nije kesho

    Mh Rais nimepata ujumbe wako zaidi ya mara kumi kwa leo naomba kukujulisha yakuwa Mimi Sifi Leo Sina nauli ya kutoka kwetu Bukoba mpaka Dodoma Kwa ajili ya kujua watanzania tupo wangapi ila namba yangu ya Tigo 0717.........27 inapokea muamala tuma haraka nianze safari ya kuja kukusikiliza la...
Back
Top Bottom