kubeti

  1. G

    Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

    Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga. Kama...
  2. Manyanza

    Kubeti kunaangamiza Akili na afya 😂😂😂

    Habari picha , hii ni picha iliyopigwa nchini Nigeria
  3. BARD AI

    Wanafunzi 1,000 wanaaacha masomo Chuo Kikuu cha Makerere kila mwaka kwasababu ya Kubeti

    UGANDA: Chuo Kikuu cha Makerere kimesema takriban Wanafunzi 1,000 wanaacha au kuachishwa Masomo kila mwaka kutokana na kupoteza Fedha za Ada wanazozitumia kwenye Michezo ya Kubashiri maarufu kama 'Kubeti' Kauli hiyo imetolewa na Profesa Barnabas Nawangwe ambaye ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
  4. K

    Hakuna umuhimu wa machine za kubeti mitaani

    Kuna viongozi wananufaika na hizi machine za ku bet ambazo zimesambaa kila mahali. Kama sio hivyo basi tuambiwe faida ya hizi machine kwa taifa. Kila mahali kuna machine za wachina wanapita kukusanya pesa kila siku pesa badala ya kusaidia kamii inaenda kusaidia hawa wawekezaji fake na viongozi...
  5. Z

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa. Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka. Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
  6. Tlaatlaah

    Wanasiasa nguli na vinara wa kubeti nchini

    Miongoni mwa shughuli zinazofanywa na kutegemewa na vijana kupoteza na kujipatia kipato ni pamoja na kubeti. Kazi hii imevamiwa pia na wanasiasa wengi kwa sasa, wapo wanaofahamika na wasiofahamika pia. Bila kujali vyama vyao unadhani ni wanasiasa gani wanaongoza kwa kubeti nchini kwa sasa?
  7. 5 Nyingi

    Hela za kubeti zina nini? Kwanini ukizipata haufanyi kitu cha maana?

    Nimeanza kubeti muda mrefu bila mafanikio, mara chache sana nimewahi kula elfu 10 mpaka elfu 50. Siku chache zilizopita kwa mara yakwanza nikala m 7 kasoro, sasa picha linaanza leo nina kama laki 4 tu. Nyingine yote sijui nimeitumia vipi. Cha maana nilichofanya ni kununua kiwanja cha 1.2 M...
  8. Pain 01

    Katika tasnia ya kamali Kanji (Mhindi) ni nani?

    Habari za kushinda wana wa jf, Bila kuwachosha niwaulize moja kwa mojaaa wengi katika masuala ya kubeti huwa mnampania kummpiga kanji hii haitegemei na kampuni. Bali kila mtu mara muhindi kanila au kanji, hii nadharia ya kanji au muhindi wakuu imekuaje ....imekuaje kampuni ziko njingi lakin...
  9. sky soldier

    Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  10. R

    Je, kuna dini inakataza kubeti? Kama ipo waumini wake watakubali kutibiwa kwa kodi za betting? Kwanini wasitumie kwa mapato ya madini?

    Tumeanzisha mfuko wa kuchangia bima ya afya chanzo cha mapato yake ni kubeti. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi wana matatizo ya akili na hivyo kuwawekea kiasi cha fedha zao kwenye matibabu ya afya zao ni jambo jema. Ni kweli kwamba wanaobeti wengi ni jobless hivyo kupata fedha za kujitibu ni...
  11. D

    Naomba Ushauri: Nataka kuacha kubeti

    Habari za muda, Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza. Japo nilishawahi kushinda...
  12. sky soldier

    Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa! Akaanza...
  13. Dcxkobe

    Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
  14. Clark cian

    Kubeti ni kujiua kiakili

    Bisheni sasa na hii Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao . Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika Jamani vijana tufanyeni kazi...
  15. G

    Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

    Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend kupika kaugali unashiba ukirudi tu hivi ni wewe pekee unaepumua tena kwa shida mno😆😂😂😂… Hamna janja...
  16. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  17. J

    Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  18. BARD AI

    Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
  19. Kilimbatzz

    Simba inatisha nyie, baadhi ya makampuni ya kubeti yanahofia kuiweka mechi yake mpaka sasa

    Simba mkubwa Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia Tena mpaka mechi za mwezi August zipo Why not ya Mnyama!? Mnakhofia nini!? Wydad kawapenyezea Fungu nini!? Nevertheless: Wydad 1-2 Simba NB:Ushabiki...
  20. Mcanada

    Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
Back
Top Bottom