E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana.
Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
Tulipoishia ni pale mzee soni kuona moto ukipamba sana katika nyumba ya justin
(Raia)..saidia jman mwanga maji,”lete maji”mungu jamn maindra
Justin alishangwaza sana na moto hule umetokea wapi…?,machozi mengi sana yalimtoka justin
Justin) haiwezikani lazima nikamtoe mke wangu maindra.
Justin...
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi
1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini
2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu)
#upambanaji mwingi
3. Black(weusi)
Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk).
Kwa maana...
HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996.
Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika?
Jirani kwanini unakuwa hivi lakini?
Yani tokea asubuhi unabadilisha story tu mara Treni ya Umeme, mara Goli la Yanga, mara Radio ya Alikiba na hauna dalili ya kuondoka.
maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
Huyu Kambona huyu? alikuwa mjanja mjanja sana. Nani alikuwa anamtuma.
Baadhi ya Mikasa yake
Odinga anamshauri arudi Tz, anakataa
Anaunda tuvikundi huko Msumbiji kuleta mchafukoge Tz
Anaalikwa Nigeria anamponda Mwalimu
Anamleta ndugu yake Kenya kutoka London wanaanzisha kajarida ka udaku...
Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story
Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
Niite Mimi ndyo jina langu(sio jina langu halisi. Nimezaliwa Miaka 30 iliyopita Kanda ya ziwa.Nina elimu ngazi ya Shahada.
Nikiwa nina Miaka 10,siku moja jioni ghafla nikasikia kitu kinatembea machoni kama mtu aliyemwagiwa mchanga.Nikajua ni mchanga umeingia tu,Kumbe!Nikaanza kufikicha na...
The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
Hivi kwanini watu wanashindwa kutofautisha Kati ya Chuki na dharau??🤔🤔
Kwanza kuchukiana sio vizuri na haipendezi, Ila kwa upande wangu Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu...
Hivi kwanini wa TZ ni mazumbukuku. Kila uwongozi ukija TANESCO wanakuja na same story lakini wa TZ wanasahau walichoambiwa nyuma.
Ni upole ama ni ujinga. Mvua inanyesha sasa hivi natumaini bwawa limejaa. Lakini bado mgao. Mitambo inatengenezwa kila uwongozi lakini haiponi.
TZ bwana !! Mtu...
Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa.
Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote.
Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
Huwa nashangaa mno haya mambo yanavyokuzwa, huenda ni zamani sana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa mambo yamebadilika.
Ukweli ni kwamba majeshini na hata kambi kibao za majeshi wakurya wapo lakini sio kama inavyopotoshwa mitaani kwamba kirefu cha JWTZ ni jeshi la Wakurya tangu zamani ama kuna...
Habari kwa wana JamiiForums!
Naomba niende kwenye simulizi moja kwa moja, hii ilinikuta miaka kadhaa iliyopita. Mambo yalikuwa hivi:-
Wakati ninaanza kidato cha kwanza katika shule moja ya Serikali mkoani Mbeya kama ilivyo kwa wazazi wengi baba yangu alinipa maneno haya "soma kwa bidii...
Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia)
1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ?
2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake?
3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking?
4.Kama neno...
Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate.
Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye.
Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake.
Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake.
Kisa Kiko hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.