Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii.
ANGALIZO:
Thread hii inalenga kujibu swali la kisheria kuhusu uwezo wa familia kushitaki ama kushitakiwa...
Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu?
https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la habari la AP linaripoti.
“Tayari nimeshatoa taarifa ya kuwatahadharisha wale ambao ni wa Afrika Kusini...
Nairobi, Kenya.
Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa sababu sheria za nchi za manunuzi ilikuwa inatekelezwa wakayti huo haziruhusu mambo hayo, lakini...
==========
Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini.
Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
Ndio, Uraisi ni Wadhifa nyeti Duniani kote na Raisi anapaswa kulindwa na mfumo na Sheria za Nchi akiwa ndani na hata nje ya madaraka. Lakini swali ni Je, Kinga za kisheria wanazopewa viongozi Hawa haswa Hawa Executive Presidents, zinalinda maslahi na madudu yao, au zina Linda maslahi ya Taifa...
Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote....
=====
The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to the 2014 downing of commercial airline Flight MH17, among other things.
The European Court of Human...
Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme.
Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20.
-
Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Mwanasheria: Hadi sasa...
Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Arusha. Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, amedai hakumbuki kushtakiwa kwa kujifanya ofisa Usalama wa Taifa wala kuhojiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana, Sabaya alitoa madai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.