waje

  1. FRANCIS DA DON

    Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  2. Zouzoutz

    Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

    Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda...
  3. U

    Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  4. M

    Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

    KAMA LENGO LAKO KUU NI KUZAA ILI WATOTO WAJE KUKULIPA FADHILA KWA MALEZI YAKO BASI NAKUSHAURI HAIRISHA KUWA MZAZI KWA SABABU WEWE NI MJASIRIAMALI NA SIO MZAZI. Ni ushauri tu sio lazima ufuatwe na wote ila unaweza kuutafakari kabla ya kuupinga kwa mihemko ya hoja zisizo na mashiko.Kama hujui...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

    Hello men and women of God! Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu. Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
  6. dalalitz

    Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  7. 5 Nyingi

    Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  8. R

    Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  9. safuher

    Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo...
  10. GENTAMYCINE

    Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

    Yaani GENTAMYCINE na yule mtu mmoja wa BAKWATA tukiingie Msituni kuipambania Timu nje ya Uwanja halafu Mwarabu atoke bila Kipigo/Kichapo? Sikumbuki ni lini GENTAMYCINE nimeshirikishwa katika Umafia wa Nje ya Uwanja (Utamaduni na Fitna) na nikashirikiana vyema na wahusika na wakakisikia...
  11. matunduizi

    Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
  12. Rashda Zunde

    Chadema acheni kusomba watoto waje kwenye mikutano yenu

    CHADEMA CHADEMA CHADEMA Mmeishiwa sasa mnakusanya watoto? Yaani wakati mama anafanikisha ujenzi wa madarasa na kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupata elimu, nyie mnawatoa watoto mashuleni maana huu ni muda wa kuwa darasani mnawapelekea kwenye mikutano yenu. Hii si sawa kabisa. Acheni hii tabia.
  13. Colgate3

    Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  14. chiembe

    Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  15. Anna Nkya

    Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  16. M

    Rais Samia uliwaalika tu Uwapendao wana Yanga ilikuwaje ghafla tena Ukawalazimisha Usiowapenda Simba nao waje Ikulu?

    Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
  17. DR HAYA LAND

    Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  18. econonist

    CHADEMA waje na mfumo wa 'Primaries'

    Nashauri chama changu cha CHADEMA waje na mfumo wa Primaries, kwenye Uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama 2025. Tena mchakato uanze 2024. Kama wanavyofanya Marekani, hii itaongeza demokrasia kwenye chama na pia wagombea kujitangaza kwa uwazi. Kura zitapigwa kimkoa au kikanda kulingana na...
  19. Mparee2

    NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
Back
Top Bottom