matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima.
Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende.
Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine flani ambazo zinafanya kazi chini ya ardhi. Zoezi likifanikiwa hakutakuwa na haja ya kuajiri operators/Drivers wa hizo mashine bali watakuwa na control center watu wachache wakiendesha remotely.
Unadhani ni kitu gani au ujuzi gani ambao ni lazima kila mtu anaposoma chuo awe nao ili umsaidie hata kama hakuta kuwa na ajira.
Mimi cha kwanza ninachokiona ni Sales and Marketing. Ukijua kuuza na kunadi unachokiuza unaweza kufanikiwa kwenye kada yoyote hata nje ya fani yako.
Ni hayo tu.
Nini maoni yako.