Ukimya wa Drake na DJ Khaled kwenye mgogoro wa Israel na Palestina wawakera Mastaa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1697015496276.png

DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000

Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona Myahudi maarufu zaidi Duniani, Drake, na Mpalestina maarufu zaidi duniani, DJ Khaled, hawajasema lolote kuhusu mzozo wa Gaza na Israel. Sio kama Drake ana shughuli nyingi, amekuwa akiandika kuhusu Joe Budden aliyeikosoa albamu yake mpya. DJ Khaled amekuwa akitangaza viatu vyake vipya, wote wawili wamekuwa kimya juu ya mada hii, kwanini hivyo?"

==========

DJ Vlad called out both Drake and DJ Khaled for not speaking out on the ongoing conflict between Israel and Palestine on social media, Tuesday. The CEO of VladTV says that the two, despite being Jewish and Palestinian, are too cowardly to address the situation.

Vlad began his rant: “Has anyone noticed that the most famous Jewish person on Earth, Drake, and the most famous Palestinian person on Earth, DJ Khaled, haven't said a single thing about the Gaza-Israel conflict? It's not like Drake is too busy. He's been writing paragraphs about Joe Budden hurting his feelings about his new album. DJ Khaled has been working overtime promoting his new Jordan sneakers. But both of them have been silent on this topic. Why is that?”

From there, he provided his theory as to their silence: “It's because both are so thirsty to maintain their relevance that they wouldn't dare risk insulting a segment of their fanbase. Heaven forbid that Drake might debut at #2 behind Taylor Swift because some of his Palestinian fans chose to not stream his album. And it would be the end of the world if Khaled sold a few less sneakers because some Jewish people decided not to buy his Jordans. That's the difference between artists of today and timeless legends like 2Pac. You know damn well Pac would be the first one to speak out about something so close to home.”

DJ Vlad Slams Drake & DJ Khaled​

Has anyone noticed that the most famous Jewish person on Earth, Drake, and the most famous Palestinian person on Earth, DJ Khaled, haven't said a single thing about the Gaza-Israel conflict? It's not like Drake is too busy. He's been writing paragraphs about Joe Budden hurting…
— DJ Vlad 🇺🇦 (@djvlad) October 10, 2023

The comments from Vlad come after a Hamas militant group attacked the Universo Paralello music festival near the Gaza Strip. At least 260 people were killed in the incident.
 
Drake uyahudi wake ni wa mbali, yani Babu upande wa mama yake ndio alikuwa myahudi. Na sasa ni sawa sawa na wewe Babu yako upande wa mama yako awe msukuma. Wewe uwezi kuwa msukuma kwa sababu tu babu yako upande wa mama yako alikuwa msukuma. Drake ni Mkanada-mmarekani kwenye upande wa utaifa, na Mama yake ni Myahudi. Drake kazaliwa huko Toronto, Canada. Baba yake Drake alikuwa alikuwa ni mmarekani mwenye asili ya Afrika. Mama yake Drake ndio alikuwa mkanada mwenye asili ya kiyahudi. Na mara nyingi Drake ujiita mtu kutoka Canada. Drake ni mchanganyio wa kiafrika, kimarekani, kikanada, kiyahudi

Kuhusu DJ Khalid yeye kidogo ndio unaweza kusema ni mpalestina, kwa sababu wazazi wake wote wawili walitoka palestina wakaamia Marekani, ambapo Dj Khalidi alizaliwa huko New Orleans, katika jimbo la Louisiana Marekani. Kiasili kutoka kwa wazazi wote wawili DJ Khalid anaasili ya palestina bila mashaka, lakini anatambulika kama Mmarekani kiutaifa.


Mwisho: Muziki una mashabiki wengi na wengi wenye itikadi tofauti tofauti. Mara nyingi wasanii wakubwa hawapendi kuonesha mitazamo yao kukwepa kugawa mashabiki. Marekani sio bongo, Marekani ukijichanganya kidogo watu wanakususia. Wengi uchagua kukaa kimya
 
Huyo Vlad anataka kuwachonganisha hao mastaa na mashabiki wao. Maana chochote watakachosema kitawaudhi watu fulani. Bora kukaa kimya.
 
Wajichanganye watoe kauli Ile kwao.Fid Q alisema nikanyage bahati mbaya nikupige ngumi makusudi.
 
Huyo 'DJ' anaingilia uhuru wa watu wengine kukaa kimya wakati wa tukio lolote linapotokea, si kila muda maneno yetu ni majibu sahihi. Kwani mpaka sasa yeye '"DJ Vlad" ametoa msimamo wowote?
 
Back
Top Bottom