jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. DR Mambo Jambo

    CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

    Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi.. Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
  2. Mhaya

    Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  3. Teko Modise

    Nimependa hili jibu murua la Fiston Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere!!

    Unampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
  4. Alwaz

    Israel imeshakubali kusitishwa vita, kinachosubiriwa ni jibu la Hamas

    Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake. Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri...
  5. M

    Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

    Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya. Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!" Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
  6. U

    Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  7. M

    Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
  8. chiembe

    Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  9. M

    Hili ndio jibu la Aunt Ezekiel kuhusu yeye kuolewa na Kusah

    Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah". ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from RickMedia
  10. M

    Kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' kuoneshwa Tanzania pekee'?

    Naomba niingie kwenye swali moja kwa moja.. Hivi kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' KUONESHWA TANZANIA PEKEE' hii mimi sijaielewa ina maana gani? Naomba kusaidiwa.
  11. GENTAMYCINE

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  12. M

    Kukaa Kimya ni jibu pia (Haters)

    Habari zenu, Nipo hapa JF kuinteract na watu naheshimu kila mtu, Kama wewe unanichukulia tofauti nakupa pole sana. Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena. Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi...
  13. Teslarati

    Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
  14. MK254

    Hakuna taifa lenye jibu la Gaza iweje baada ya HAMAS, hivyo Israel itapiga kisha ikalie kama koloni

    Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma. Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha. ========== The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the...
  15. Wadiz

    Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  16. Mjukuu wa kigogo

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  17. K

    Jibu kwa Tundu Lissu: Njia nzuri ya kuzuia uchaguzi ni kuruhusu uchaguzi ufanyike

    Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia. Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
  18. tpaul

    Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  19. Russia is not your enemy

    Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  20. tpaul

    Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma. Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC...
Back
Top Bottom