mzalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  2. Greatest Of All Time

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  3. Pascal Mayalla

    Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Wana JF Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe. https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2 Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
  4. K

    Ushauri kwa ACT Wazalendo

    Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa mifano. Kila mtu anajua ACT mlishinda Zanzibar sasa ni kwanini mlikubali kuwa na mawaziri wachache...
  5. P

    Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  6. Magufuli 05

    Masikini Nyerere,kumbe alikuwa mzalendo kiasi hiki?leo tuna matapeli tu.

    1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa. 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine...
  7. R

    Zitto Kabwe amefeli sana kwenye siasa tangia arubuniwe kuisambaratisha CHADEMA amekwenda ACT hana tena mvuto ameamua kustaafu

    Msaliti hana maisha marefu kwenye siasa. Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo waliandaa njama yakuivuruga CHADEMA , wakakamatwa na kufukuzwa. Akaenda kuanzisha chama chake kwa lengo lakuisambaratisha chadema . Amepambana awezavyo ameshindwa imemlazimu aamue kung'atuka chama kisife mikononi mwake...
  8. saidoo25

    Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  9. R

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono

    Salaam, Shalom!! Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote...
  10. Nyankurungu2020

    Nondo za Luhaga Mpina, ndio maana Mzalendo namba moja hayati JPM alimkubali sana

    "Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema tunalinda viwanda kwa hapa tunavilindaje?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa
  11. The Burning Spear

    Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  12. tpaul

    Rais Samia sio mzalendo kwao!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi...
  13. MamaSamia2025

    Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  14. K

    Kama kweli wewe ni mzalendo kwanini unaunga mkono mkataba wa DP World bila marekebisho?

    Kama kweli wewe ni mzalendo Kwanini una support mkataba wa DP world bila marekebisho? Sababu je ni hipi hasa 1. Je, wataalamu wetu wanatudanganya? 2. Haujauelewa mkataba? 3. Umenufaika binafsi? 4. Unajali siasa kuliko nchi? 5. Haujali mkataba kwasababu kuna mikataba mingi? Je, kwanini...
  15. S

    Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  16. J

    Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  17. S

    Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
  18. Msanii

    Je, tumeshamsahau Wakili Mzalendo Peter Madeleka? Nini kifanyike?

    Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili Mzalendo, Msomi Peter Madeleka yupo rumande akisubiri mchakato wa kesi yake ya msingi uanze. Mahakama...
  19. Idugunde

    Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  20. M

    Kuvaa sare za chama haimaanishi wewe ni mzalendo kwa nchi wala chama

    Wakuu ni kwamba kila chama kina sare zake na zimekuwa zikivaliwa sana na makada. CHADEMA na magwanda yao huku CCM wakipendeza kwenye kijani na njano. Ni jambo jema kwa sababu sare zinapunguza sana matabaka kwenye mikusanyiko, mikutano na vikao. Kinachoniudhi ni tabia ya makada wengi wa vyama...
Back
Top Bottom